CHADEMA wachemka tena, wapeleka barua ya hukumu kusiko

Nyie ndiyo wagonjwa kwani kama milishaga wakataa wanawasumbua nini tena? Simuwaache sasa endeleeni na kesi imerudi mlijuwa limeisha bado sanaaa Wacha wale Hela ya ubunge kupitia chadema
Wagonjwa waina yako huwa hawajijui, hatukushangai ila tunakuombea uponyaji ili hatimae kulitibu Taifa zima
 
Kweli kabisa. CCM kinejaa wahuni.
 
Kundi la Halima leo wamechangia bungeni. Obviously Spika hasubiri hukumu.

Cover your bases. Peleka barua au majina mapya TUME.
Wanaokupinga, kukutukana na kukejeli ni wafuasi kama nyumbu. Spika wanayemdanga maamuzi yake ya kuendelea kuwa na hao Wabunge, ni Dr wa Sheria aliyebobea
 
Mbo
Mbona kopi nyingine wamepeleka pia ofisi za time ya uchaguzi
 

Tume hiyo hiyo iliyo gushi barua kuwa Chadema wamewachagua wabunge wakati sio kweli! Hii ni aibu kwa nchi . Sijaona strategy hapa yoyote ya kuwakomoa Chadema ambao wako kwenye mazungumzo ya moja kwa moja na CCM na Raisi wa nchi. Yaani hata Raisi na Kinana watakuwa waishangaa hii tume na siasa za kitoto. Tume inabidi ijiulize kwanini hata Raisi amepuuza jitihada zao za siasa mpaka wakaanza kuongea na Chadema moja kwa moja!. Spika na tume wametupiwa tufe la moto ambalo wakizidi kukaa nalo ndiyo litazidi kula mahakama wamekuwa smart kuamua haraka

Chadema wamefanya kwa kumbukumbu tu ili wasije kusema Chadema hawajapeleka barua
 
Tuache kutafuta kichaka kwamba mahakama ikitoa hukumu basi ni mpaka barua ifikishwe na CHADEMA? Kwamba mwanasheria mkuu kazi yake ni nini while kwenye kesi alihusishwa?

Hata Lissu aliposhambuliwa kuna watu mlisema arudi nchini Ili polis wafanye uchunguzi. Hadi unajiuliza je angekufa uchunguzi usingefanyika??

Kwanini ni upinzani tu ndio wanapewa burden of proof, kwamba serikali haina machinery za kutrack mienendo ya kesi Ili kutekeleza hukumu za mahakama?? Mbona Lissu alivuliwa ubunge same day NEC ikatoa taarifa Jimbo liko wazi!! Kesi alifungua akiwa raia sio mbunge but why Hawa wanawake wanalindwa?
 
Kwani uwamuzi wa mahakama anapaswa kupelekewa kwani amestakiwa yeye
 

PRESS RELEASE
Agosti 3, 2021

TUME ya Taifa ya uchaguzi imetangaza jimbo la Konde kuwa wazi baada ya Chama Cha Mapinduzi kuiandikia barua kuifahamisha kwamba Bwana SHEHA MPENDAFAKI sio mteule wao tena.
____________________

CCM hapo hawakuacha nafasi ya kufanya ajizi, wali cover their bases.

Salim Mwalimu, you should cover your bases. Usitupe lecture za wananchi tuwe watulivu. Wananchi hatujawahi kuifanyia fujo CHADEMA. Do your job.

Ifahamishe TUME majina kutoka CHADEMA.
 
Kama mnasema uchaguzi wa 2020 si halali na ndo mana hamkumtambua JPM halafu uchaguzi huo huo ndo ulimpitisha Rais Samia kama makamo ila sasa mnamtambua na hatujafanya uchaguzi mwengine! Huku ni kunyumbuka na kutojielewa kwa ufipa kulikopitiliza!

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka Marehemu Beni alisema wapinzani ni wapumbavu! Tusi zito na la wazi

Kwa hiyo naye ni muhuni, mvuta bangi etc, maana mfumo wa upinzani upo halali kisheria!?
 
Kunatatizo la kisheria ambalo lisipopatiwa ufumbuzi litaendelea kusumbua.

Mahakama haijasikiliza kesi ya Covid 19 kwakuwa walikosea kumtaja mlalamikiwa hivyo wakirekebisha wakamtaja mlalamikiwa sahihi kesi itasikilizwa SASA hii hatua ya wafukuzwe ubunge inakujaje? Na kama hoja precedent ya kesi ya Lipumba na kina Zito ambazo hata hazihitaji Elimu kubwa kwamba kama hazikuzingatia matakwa ya katiba zinakuwa batili.
Hatuwezi Kuwa na mifano ya zamani ambayo ilikiuka matakwa ya kikatiba na kutaka yaendelee.
 
Kumbuka Marehemu Beni alisema wapinzani ni wapumbavu! Tusi zito na la wazi

Kwa hiyo naye ni muhuni, mvuta bangi etc, maana mfumo wa upinzani upo halali kisheria!?

Mfumo wa upinzani Upo halali kisheria na kikatiba, ila wanachama wa hicho Chama chenu naisi hawako halali na timamu kiakili.
 
Hili swala la covid 19 linatia kinyaa. Ni mpuuzi tu awezayeshupaza shingo. Kujua ukweli
Wakat si milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…