Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Leo Makonda ameita vyombo vya habari, ameeleza mengi kuhusu kauli ya Mbowe kuhusu kujiondoa kwenye maridhiano. Amedai Mbowe ni mnufaika wa maridhiano na kwamba kama siyo maridhiano angekuwa yupo gerezani .
Kwa upande wake chadema imeeleza kutojibizana na kauli yoyote ya Makonda kwani kufanya hivyo nikumpa uhalali wa kusimama kwenye majukwaa ya kisiasa huku kila mtu akifahamu mambo mabaya aliyowatendea . Wamedai kumsaidia Makonda ni njia nzuri yakutuma ujumbe kwa CCM kwamba nchi haiwezi kuendelea kukumbatia waalifu katika mfumo wa kutafuta haki.
Pia, Soma: Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili yoyote ya utashi wa kuwepo kwa maridhiano ya kisiasa nchini
Wameeleza pia kwamba tangu aingie ofisini mambo yote yanayohusu maridhiano yamefifia na katibu mkuu wake alimkataa na kuamua kujiuzulu.
Je, chadema watafanikiwa kwa kususa kushirikiana na kupambana kisiasa na Makonda? Endapo wakiamua kutekeleza kususa huku Makonda atapambana na nani? Au atakuwa anakosoa na kijijibu?