Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga ujuaji na upumbavuWamekosa hoja za kujibizana au kitu gani? Fafanua.
Walivyonpokea alioewa nafasi ya kugombea Nini?..Na Ccm mliotukana Lowassa mkampokea alipoamua kurejea. Je, na nyinyi mnastahili kusilizwa na kuaminiwa?
Tayari washamjibu hapoLeo Makonda ameita vyombo vya habari, ameeleza mengi kuhusu kauli ya Mbogwe kuhusu kujiondoa kwenye maridhiano. Amedai Mbowe ni mnufaika wa maridhiano na kwamba kama siyo maridhiano angekuwa yupo gerezani .
Kwa upande wake chadema imeeleza kutojibizana na kauli yoyote ya Makonda kwani kufanya hivyo nikumpa uhalali wa kusimama kwenye majukwaa ya kisiasa huku kila mtu akifahamu mambo mabaya aliyowatendea . Wamedai kumsaidia Makonda ni njia nzuri yakutuma ujumbe kwa CCM kwamba nchi haiwezi kuendelea kukumbatia waalifu katika mfumo wa kutafuta haki.
Wameeleza pia kwamba tangu aingie ofisini mambo yote yanayohusu maridhiano yamefifia na katibu mkuu wake alimkataa na kuamua kujiuzulu.
Je, chadema watafanikiwa kwa kususa kushirikiana na kupambana kisiasa na Makonda? Endapo wakiamua kutekeleza kususa huku Makonda atapambana na nani? Au atakuwa anakosoa na kijijibu?
Sawa timu mwenezi ni maoni yako,hata wanatimu wenzio wameyaona🤔CHADEMA hawana uwezo wala nguvu wala ubavu wa aina yoyote ile kupambana na Mheshimiwa Makonda katika majukwaa ya kisiasa na hata katika mjadala wa aina yoyote ile .Makonda mmoja ni sawa na kamati kuu nzima ya CHADEMA na bado hawawezi kumudu vishindo na hoja za Mheshimiwa Makonda. Wanamuelewa vyema Makonda ndio maana wanakimbia vimvuli vyao
umesahau kuweka namba ya simu wee matacoCHADEMA hawana uwezo wala nguvu wala ubavu wa aina yoyote ile kupambana na Mheshimiwa Makonda katika majukwaa ya kisiasa na hata katika mjadala wa aina yoyote ile .Makonda mmoja ni sawa na kamati kuu nzima ya CHADEMA na bado hawawezi kumudu vishindo na hoja za Mheshimiwa Makonda. Wanamuelewa vyema Makonda ndio maana wanakimbia vimvuli vyao
Makonda hana adhi ya kujibizana na chadema periodKama kweli hiyo ni kauli ya Chadema basi kuna kila haki ya kutokukipa dhamana hiki chama.
Kimejaa watu ambao hawana misimamo na waoga mno.
Chama kizima kinawezaje kususa kisa mtu mmoja??
Yaani Makonda tu anawaondoa kwenye reli peke yake.?
Ndio maana mwaka wa 30 huu hawajanusa hata kunusa kushika dola.
Nimecheka kama mazuri yaniumesahau kuweka namba ya simu wee mataco
Wananchi wepi hao ewe nyumbu na fisi wa CHADEMA? Mkikaa hapo ufipa na kuvuta mibangi yenu mnaanza kujiropokea tu.Bashite hajui kwamba wananchi wengi wana hasira naye
CHADEMA hanawana uwezo wa kihoja kujibizana na Makonda maana wamezoea kuokoteza vihabari na kwenda na upepo wa vimatukio.Great move kwa Chadema, hawapaswi kujibizana na Makonda. Na hii iwe mara ya mwisho kujibu hoja zake.
Mdude na mabangi yake kichwani ni nani atakaa kujadiliana naye?Saizi ya Makonda ni mdude au kumbusho dawson
Pombe ikikuisha kichwani mwako utakuja kufuta ujinga wako hapa.huko barabarani unaingia na wanao? Mbowe tu watoto wake hawajawahi kuingia barabarani. Hakuna mtanzania mwenye akili Timamu anayeweza kuwaunga mkono mafisi wa CHADEMA na kuandamana kwa ajili ya kuunga mkono uroho ,ulafi na ufisi wa CHADEMA wa kuhitaji kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo.Hivi mtu akukute una fanya kubishana na mwizi wa vyeti ata kuelewaje.
Chadema msipate shida ya kumjibu muuaji. Tusubiri siku ifike tuingie road. Tuachane na wachumia tumbo
Lowassa alirejea nyumbani baada ya kumaliza kazi maalumu aliyoiendeya CHADEMA...Na Ccm mliotukana Lowassa mkampokea alipoamua kurejea. Je, na nyinyi mnastahili kusilizwa na kuaminiwa?
😁😁😁😁😁 njaaa itakuuwa brother ccm hawanaga maana we shauli yako, ccm wanajuana vizazi kwa vizazi wewe unatumiwa kama toilet pepper mda wako ukiisha utatupwa kama wenzako walio kutangulia, walikuwepo buku 7 leo wapo wap??Pombe ikikuisha kichwani mwako utakuja kufuta ujinga wako hapa.huko barabarani unaingia na wanao? Mbowe tu watoto wake hawajawahi kuingia barabarani. Hakuna mtanzania mwenye akili Timamu anayeweza kuwaunga mkono mafisi wa CHADEMA na kuandamana kwa ajili ya kuunga mkono uroho ,ulafi na ufisi wa CHADEMA wa kuhitaji kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo.