Pre GE2025 CHADEMA wadai hawatajibizana kwa namna yoyote ile na Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
UAMUZI WA BUSARA KABISA MWACHENI MAKONDA APIGE KELELE ATACHOKA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
..Na Bashite na makalio yake makubwa nani atajadiliana naye?
Naona mafisi na manyumbu wa CHADEMA mmeshapaniki baada ya kuona mitaani mkizomewa na kupingwa kwa kauli zenu za kijinga na kihayawani. Nyumbu wewe
 
Makonda amewaita Chadema kwenye mdahalo waende wakajibizane uko ndio siasa zenyewe .
 
Mimi nadhani kufanya maridhiano na chama tawala "ni kujidanganya kabisa". Maridhiano huwa ni katika mambo ambayo yametokea na yakaathiri/jeruhi jamii kama ilivyotokea kwa Afrika Kusini au Rwanda. Lakini katika ushindani wa kisiasa hakuna cha maridhiano, ni kupoteza muda. Uza sera zako na waachie wananchi waamue. Wakati mwingine sheria zinaweza kuwa kandamizi. Piga kelele wananchi waone jinsi hizo sheria zilivyokandamizi na waachie wao wafanya uamuzi na wewe usichoke kupiga kelele hata kama itachukua miaka na karne. Lakini kudhani kwamba chama tawala kitaona hapa kinafanya rough kirekebishe ni kujidanganya. Ikitokea kikarekebisha ina maana kimepata mbadala wake. Ni kama unapokwenda kununua bidhaa kwenye duka A na mwenye duka akakupa pipi. Usidhani kamafanya hivyo kwa kupata hasara kwamba ameokuonea huruma wewe mnunuaji. Ina maana kama amekupa pipi, anajua bei yake ameshaiweka kwenye bidhaa uliyonunua. We need to be 'politically enlightened'.
 
Andika basi heading kwa ufasaha.... 'hawatajibizana' siyo 'awatajizana'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…