CHADEMA wadai kuzuiwa msibani kwa mwanachama wao, kufuatia maagizo kutoka juu

CHADEMA wadai kuzuiwa msibani kwa mwanachama wao, kufuatia maagizo kutoka juu

Mleta hujui mambo mengi sana. Huyo mpaka Jw wameamua kuushughulikia msiba elewa tu kwamba alikuwa katikA ( MI)
Ni kama kipindi flani aliangukaga reporter mmoja wa media flani.. ajabu (PI TI)ndo wakasimamia msiba. Hivyo basi kumbe dada alikuwa wa kitengo.
 
Nikajua babaake Alhaj Nchenge alikuwa CHADEMA!
 
Inasikitisha, msiba sio kitu cha kumkataza mtu. Aliyetoa maagizo ajitafakari sana, Kila nafsi itaonja umauti.
Inawezekana walishindwa kumsaidia akiwa hai, mfano pesa ya matibabu halafu wanasikia kifo ndio wanajifanya makamanda! Waende wakaweke musiba ofisini kwao kama amewauma sana!
 
Back
Top Bottom