Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Umeandika kama mtoto wa shule kweli. Japo hujasema wa darasa la ngapi ? Sitashangaa kusikia una masters.Inawezekana walishindwa kumsaidia akiwa hai, mfano pesa ya matibabu halafu wanasikia kifo ndio wanajifanya makamanda! Waende wakaweke musiba ofisini kwao kama amewauma sana!
Lowasa alitukanwa sana na ccm mbona alipokufa ccm walienda msibani na kuzikwa kitaifa? Tuseme hawakutakiwa kwenda kwa 7babu walimtukana alipokuwa hai na kukihama chama chao?