Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Umeandika kama mtoto wa shule kweli. Japo hujasema wa darasa la ngapi ? Sitashangaa kusikia una masters.Inawezekana walishindwa kumsaidia akiwa hai, mfano pesa ya matibabu halafu wanasikia kifo ndio wanajifanya makamanda! Waende wakaweke musiba ofisini kwao kama amewauma sana!
Aliisharudi CCM na alistahili kuzikwa kitaifa kwasababu Serikali iligharimia matibabu yake na msiba wake.Umeandika kama mtoto wa shule kweli. Japo hujasema wa darasa la ngapi ? Sitashangaa kusikia una masters.
Lowasa alitukanwa sana na ccm mbona alipokufa ccm walienda msibani na kuzikwa kitaifa? Tuseme hawakutakiwa kwenda kwa 7babu walimtukana alipokuwa hai na kukihama chama chao?
Na ndesamburo je alitelekezwa?
Aliisharudi CCM na alistahili kuzikwa kitaifa kwasababu Serikali iligharimia matibabu yake na msiba wake.
Wao Chadema walimtelekeza marehemu akiwa mgonjwa halafu wanaleta kiherehere siku ya msiba? Wana bahati mimi sio mtoto wa marehemu. Wangeipata freshi!
Machadema acheni ujinga, nyie kila jambo mnaleta siasa njaa, we uliona wapi msiba wenyewe hawakuhitaji we ung'ang'anie kwenda!!? Ovyo kabisa nyie mnaendesha siasa za matukio tu hamna dira kabisaWanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamekasirishwa na kitendo kinachodaiwa kufanywa na familia ya marehemu kwa kushirikiana na Jeshi la Ulinzi kuwazuia kushiriki kama chama kwenye msiba wa aliyekuwa mwanachama na Mweka Hakina wa chama hicho Jimbo la Mbagala, Bi Rose Ngangaji.
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Temeke, Hermani Kiloloma amesema msiba ulipotokea wao kama chama walishiriki kikamilifu kwa michango na shughuli nyingine ila wameshangazwa kwa siku hiyo kuambiwa hawatakiwi kushiriki katika msiba huo kwani upo chini ya jeshi, huku bendera za CHADEMA zikiondolewa msibani.
VIDEO: Jambo Online TV
Hii ni mbaya sana sifikirii kama jeshi la wananchi ninalonifahamu mie limefikia kwenye taswira ya kisiasa!! So, sad indeed!!!!Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamekasirishwa na kitendo kinachodaiwa kufanywa na familia ya marehemu kwa kushirikiana na Jeshi la Ulinzi kuwazuia kushiriki kama chama kwenye msiba wa aliyekuwa mwanachama na Mweka Hakina wa chama hicho Jimbo la Mbagala, Bi Rose Ngangaji.
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Temeke, Hermani Kiloloma amesema msiba ulipotokea wao kama chama walishiriki kikamilifu kwa michango na shughuli nyingine ila wameshangazwa kwa siku hiyo kuambiwa hawatakiwi kushiriki katika msiba huo kwani upo chini ya jeshi, huku bendera za CHADEMA zikiondolewa msibani.
VIDEO: Jambo Online TV
Kwani Ndesa Pesa alizikwa na Chadema? Una Kichaa?Na ndesamburo je alitelekezwa?
Alphonso mawazo je alitelekezwa?
Wale waliotaka kumuombea dua TAL Je walimtelekeza hata wakakataliwa!?
Wewe ni mtoto wa shule kweli japo sijui wa arasa gani? Una andika kama umrzaliwa jana??