CHADEMA waendelea na ajenda yao ya maandamano ya amani. Wapeleka barua Polisi kuomba ulinzi

CHADEMA waendelea na ajenda yao ya maandamano ya amani. Wapeleka barua Polisi kuomba ulinzi

dog 1

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2015
Posts
301
Reaction score
835
CHADEMA leo ijumaa imewasilisha taarifa ya Maandamano ya Amani tarehe 23 SEPTEMBA, 2024 kama sheria inavyoelekeza.

Yaonyesha njia, ajenda na hitimisho litakuwa wapi. Watimiza masharti ya kuwasilisha taarifa saa 48 kabla ya Maandamano kufanyika.

Soma Pia:

FB_IMG_17268635952745552.jpg
 
Ndani ya Taarifa yao wameonyesha Maandamano yao yatakapoanzia na kuishia, pamoja na Njia ambazo Maandamano hayo yatakamopita.

Taarifa yao hii hapa

View attachment 3101505

Mungu Ibariki Chadema.
Asante sana, kwa taarifa ni muhimu sana, inaonyesha Chadema sasa ni chama makini kinachofuata katiba, sheria taratibu na kanuni.

This is very good news and a good move, ombi kwa uongozi wa Chadema, uwe tayari kupokea majibu yao kesho, wakikataliwa wasiandamane.

P
 
Ndani ya Taarifa yao wameonyesha Maandamano yao yatakapoanzia na kuishia, pamoja na Njia ambazo Maandamano hayo yatakamopita.

Taarifa yao hii hapa

View attachment 3101505

Mungu Ibariki Chadema.
Hofu yangu je wakikataliwa katiba inataka waandamane hivyo hivyo ?

Ama katiba inasema mkikataliwa muisfanye ?

Au katika inasema mkikataliwa fanyeni hivyo hivyo ?

Isijekuwa kuna gap la kisheria ambalo litaupa kila upande hoja za kuhalaljsha watakachofanya siku hiyo
 
Wanaweza kusema watajilinda, maana kinachoombwa hapa ni ulinzi tu, siyo ruhusa.
 
Asante sana, barua hii ni muhimu sana, inaonyesha Chadema sasa ni chama makini kinachofuata katiba, sheria taratibu na kanuni.

This is very good news and a good move, ombi kwa uongozi wa Chadema, uwe tayari kupokea majibu yao kesho, wakikataliwa wasiandamane.

P
Bwana Mayalla kwani ni lini CHADEMA waIiwahi kutokufuata katiba ,Sheria taratibu na kanuni ?

Tukutane trh 23 kwenye maandamano hi fursa sio ya kukosa
 
Familia ya Mbowe nayo itaandamana au?
Familia ya mbowe na ya lisu ni raia wa nchi nyingine kwa hiyo hawawezi kushiriki maandamano kwenye nchi ya kigeni. Inawezekana pia mbowe na lisu wenyewe hawatakuwa mstari wa mbele kwenye maandamano. Wao watakuwa mahali wanakula kiyoyozi wakisubiri kutoa taarifaya maandamano. Makapuku ndiyo watawekwa frontline.
 
Back
Top Bottom