Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Maneno ya hivi huwa naona kama vile mnakaririshwa kama kasuku, bila ya kutafakari. Jamani sio lazima familia nzima ifanane misimamo. Mbona baadhi ya watoto wa Warioba sio wanasiasa kabisa?Familia ya mbowe na ya lisu ni raia wa nchi nyingine kwa hiyo hawawezi kushiriki maandamano kwenye nchi ya kigeni. Inawezekana pia mbowe na lisu wenyewe hawatakuwa mstari wa mbele kwenye maandamano. Wao watakuwa mahali wanakula kiyoyozi wakisubiri kutoa taarifaya maandamano. Makapuku ndiyo watawekwa frontline.
Hata Makongoro Nyerere alikuwa Chadema na huku baba yake ni gwiji wa CCM. Sio lazima watoto wa Mbowe na Lissu nao ni wanaharakati za kisiasa, nao wana maamuzi yao kama binadamu.
Usikariri ndugu yangu, ndiyo maana hata wewe hauko hapa JF na ukoo wako wote, wengine wako busy huko hata na kucheza ngoma zenu za kitamaduni, JF wanaona kama vile ni kijiwe cha kupoteza muda.
Ova