Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Uliambiwa familia yake yote ni CHADEMA?Familia ya Mbowe nayo itaandamana au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliambiwa familia yake yote ni CHADEMA?Familia ya Mbowe nayo itaandamana au?
Umeniaibisha sana mzee mwenzangu wakili msomi.Asante sana, kwa taarifa na barua hii kumbe ni Maandamano ya Kanda ya Pwani, tulidhani ni ya kitaifa!.
Barua zote za kiofisi zinatakiwa kuwa na ref number na kusainiwa na office bearers zikiwa signed na stamped. Barua hiyo haina ref wala stamp!. Ofisa habari sio office bearers hawezi kusaini barua ya Ofisi, anasaini kwa niaba ya office bearers.
All and all, ni muhimu sana, inaonyesha Chadema sasa ni chama makini kinachofuata katiba, sheria taratibu na kanuni.
This is very good news and a good move, ombi kwa uongozi wa Chadema, uwe tayari kupokea majibu yao kesho, wakikataliwa wasiandamane.
P
Hata kama ikawa hivyo, maandamano hayo ni kuwakomboa haohao makapuku sasa shida iko wapi?Familia ya mbowe na ya lisu ni raia wa nchi nyingine kwa hiyo hawawezi kushiriki maandamano kwenye nchi ya kigeni. Inawezekana pia mbowe na lisu wenyewe hawatakuwa mstari wa mbele kwenye maandamano. Wao watakuwa mahali wanakula kiyoyozi wakisubiri kutoa taarifaya maandamano. Makapuku ndiyo watawekwa frontline.
Wewe kima elewa; hiyo ni kutimiza matakwa ya Sheria. Ubishi mbuzi tuKuwaarifu polisi walinde wanaandamanaji Ili wapaze sauti kuwatuhumu polisi hao hao kuwaachia waliotekwa,
Jambo Hilo kulielewa linahitaji uwe na akili za mwendawazimu.
We mbwah hv unajikuaga ni nani kwenye hii nchi...!!Familia ya mbowe na ya lisu ni raia wa nchi nyingine kwa hiyo hawawezi kushiriki maandamano kwenye nchi ya kigeni. Inawezekana pia mbowe na lisu wenyewe hawatakuwa mstari wa mbele kwenye maandamano. Wao watakuwa mahali wanakula kiyoyozi wakisubiri kutoa taarifaya maandamano. Makapuku ndiyo watawekwa frontline.
Ambao hawataikubali ndio watakuwa wanakiuka katiba na Sheria za nchi. Hivyo shurti wakubali Ili kuitii na kuiheshimu katibaHofu yangu je wakikataliwa katiba inataka waandamane hivyo hivyo ?
Ama katiba inasema mkikataliwa muisfanye ?
Au katika inasema mkikataliwa fanyeni hivyo hivyo ?
Isijekuwa kuna gap la kisheria ambalo litaupa kila upande hoja za kuhalaljsha watakachofanya siku hiyo
Ndio maana huwa namiss posts zako, nimecheka mno!Maneno ya hivi huwa naona kama vile mnakaririshwa kama kasuku, bila ya kutafakari. Jamani sio lazima familia nzima ifanane misimamo. Mbona baadhi ya watoto wa Warioba sio wanasiasa kabisa?
Hata Makongoro Nyerere alikuwa Chadema na huku baba yake ni gwiji wa CCM. Sio lazima watoto wa Mbowe na Lissu nao ni wanaharakati za kisiasa, nao wana maamuzi yao kama binadamu.
Usikariri ndugu yangu, ndiyo maana hata wewe hauko hapa JF na ukoo wako wote, wengine wako busy huko hata na kucheza ngoma zenu za kitamaduni, JF wanaona kama vile ni kijiwe cha kupoteza muda.
Ova
Mpumbavu Wewe,, Kwani familia ya Nyerere ilienda vitani Kagera. Acha Ubinafsi na umbumbuFamilia ya Mbowe nayo itaandamana au?
Ipo clear tu... ” au unahitaji ufafanuzi zaidi. Sipo CCM wala CHADEMAKuwaarifu polisi walinde wanaandamanaji Ili wapaze sauti kuwatuhumu polisi hao hao kuwaachia waliotekwa,
Jambo Hilo kulielewa linahitaji uwe na akili za mwendawazimu.
Siyo vituko wamefuata Sheria na taratibuChadema vituko haviishagi 😀
WameoneshaNdani ya Taarifa yao wameonyesha Maandamano yao yatakapoanzia na kuishia, pamoja na Njia ambazo Maandamano hayo yatakamopita.
Taarifa yao hii hapa
Mungu Ibariki Chadema.
CHADEMA leo ijumaa imewasilisha taarifa ya Maandamano ya Amani tarehe 23 SEPTEMBA, 2024 kama sheria inavyoelekeza.
Yaonyesha njia, ajenda na hitimisho litakuwa wapi. Watimiza masharti ya kuwasilisha taarifa saa 48 kabla ya Maandamano kufanyika.
Soma Pia:
- Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
- Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu
Maandamano yenu yalishapigwa Marufuku kitambo tuJambo linalo nishangaza sasa hivi baada ya kukufahamu vizuri ni jinsi wewe na mwenzako aitwae Paskal Njaa mnavyo fanana kitabia!
Tofauti kati yenu ni ndogo sana. Paskal hupenda kuandika matakataka marefu sana; huku wewe ukiishia tu kuweka vimaneno vichache vya mipasho kwenye michango yako. Lakini mwelekeo wa maudhui ni yale yale.
Mnaishi nyumba moja, au ofisi zenu ndizo zimeunganishwa?
Nguli wa Tasinia ya habari kama Paschal Mayalla sikutegemea kama ungekuja na hoja ya aina hii, kwanza hii ni taarifa kwa umma na siyo barua ya kiofisi, nikualike ukasome taarifa kwa vyombo vya habari kutoka ofisi ya raia namba moja wa hii nchi, taarifa zao hazina ref na wala haziko stamped lakin taarifa zake zinafika kwa walengwa.Asante sana, kwa taarifa na barua hii kumbe ni Maandamano ya Kanda ya Pwani, tulidhani ni ya kitaifa!.
Barua zote za kiofisi zinatakiwa kuwa na ref number na kusainiwa na office bearers zikiwa signed na stamped. Barua hiyo haina ref wala stamp!. Ofisa habari sio office bearers hawezi kusaini barua ya Ofisi, anasaini kwa niaba ya office bearers.
All and all, ni muhimu sana, inaonyesha Chadema sasa ni chama makini kinachofuata katiba, sheria taratibu na kanuni.
This is very good news and a good move, ombi kwa uongozi wa Chadema, uwe tayari kupokea majibu yao kesho, wakikataliwa wasiandamane.
P
Duh...!, kweli Mzee Mwenzangu, kiukweli uzee unanijia vibaya!. Nitashiriki kikamilifu maandamano tena sio tuu kushiriki bali mimi ni miongoni mwa wahamasishaji wa maandamano hayo!. Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!Nguli wa Tasinia ya habari kama Paschal Mayalla sikutegemea kama ungekuja na hoja ya aina hii, kwanza hii ni taarifa kwa umma na siyo barua ya kiofisi, nikualike ukasome taarifa kwa vyombo vya habari kutoka ofisi ya raia namba moja wa hii nchi, taarifa zao hazina ref na wala haziko stamped lakin taarifa zake zinafika kwa walengwa.
Cha muhimu sana ,nikukaribishe tarehe 23 September, usipange kukosa.
Yaani Chadema kiboko yaani Afisa habari ndie anaomba kibali cha MaandamanoNdani ya Taarifa yao wameonyesha Maandamano yao yatakapoanzia na kuishia, pamoja na Njia ambazo Maandamano hayo yatakamopita.
Taarifa yao hii hapa
Mungu Ibariki Chadema.