Asante sana, kwa taarifa ni muhimu sana, inaonyesha Chadema sasa ni chama makini kinachofuata katiba, sheria taratibu na kanuni.Ndani ya Taarifa yao wameonyesha Maandamano yao yatakapoanzia na kuishia, pamoja na Njia ambazo Maandamano hayo yatakamopita.
Taarifa yao hii hapa
View attachment 3101505
Mungu Ibariki Chadema.
Hofu yangu je wakikataliwa katiba inataka waandamane hivyo hivyo ?Ndani ya Taarifa yao wameonyesha Maandamano yao yatakapoanzia na kuishia, pamoja na Njia ambazo Maandamano hayo yatakamopita.
Taarifa yao hii hapa
View attachment 3101505
Mungu Ibariki Chadema.
Wanaweza kusema watajilinda, maana kinachoombwa hapa ni ulinzi tu, siyo ruhusa.Hofu yangu je wakikataliwa katiba inataka waandamane hivyo hivyo ?
Ama katiba inasema mkikataliwa muisfanye ?
Au katika inasema mkikataliwa fanyeni hivyo hivyo ?
Isijekuwa kuna gap la kisheria ambalo litaupa kila upande hoja za kuhalaljsha watakachofanya siku hiyo
Bwana Mayalla kwani ni lini CHADEMA waIiwahi kutokufuata katiba ,Sheria taratibu na kanuni ?Asante sana, barua hii ni muhimu sana, inaonyesha Chadema sasa ni chama makini kinachofuata katiba, sheria taratibu na kanuni.
This is very good news and a good move, ombi kwa uongozi wa Chadema, uwe tayari kupokea majibu yao kesho, wakikataliwa wasiandamane.
P
Sheria inasemaje?Maombi yamechelewa
HayaChadema vituko haviishagi 😀
Kama polisi watapata taarifa za kiintelijensia kuhusiana na hali ya kiusalama wanaruhusiwa kuyazuia hayo maandamano wa usalama wa waandamanajiSheria inasemaje?
yamechelewa vipi? kwani Askari wanashughuli nyingine ya kufanya zaidi ya kulinda raia? Raia wameomba polisi wawalinde kwenye shughuli yao halali kabisa kuna shida hapoMaombi yamechelewa
Familia ya mbowe na ya lisu ni raia wa nchi nyingine kwa hiyo hawawezi kushiriki maandamano kwenye nchi ya kigeni. Inawezekana pia mbowe na lisu wenyewe hawatakuwa mstari wa mbele kwenye maandamano. Wao watakuwa mahali wanakula kiyoyozi wakisubiri kutoa taarifaya maandamano. Makapuku ndiyo watawekwa frontline.Familia ya Mbowe nayo itaandamana au?
Si kweliKama polisi watapata taarifa za kiintelijensia kuhusiana na hali ya kiusalama wanaruhusiwa kuyazuia hayo maandamano wa usalama wa waandamanaji
Vyama vya siasa siyo mali ya familiaFamilia ya Mbowe nayo itaandamana au?