Kama unaandamana porini ambako hakuna makazi na viwanja vya watu au mashamba ya watu na hakuna mali asili nadhani huhitaji kibali sababu kisheria huja trespass eneo la mtu au la mali asiliKuna haja ya kuhakikisha kuwa tunailewa Katiba, taratibu na Sheria pamoja na Barua ya Chadema. Barua ya Chadema, kama nimeilewa vizuri, siyo ya kuomba ruhusa kwa Polisi ili kufanya maandamano. Inailitaarifu jeshi kuwa inatarajia kufanya maandamano ya amani. Je kuna mahali kwenye Katiba na Sheria za nchi yetu ambapo Jeshi la Polisi linabidi liombwe ruhusa ya kufanya maandamano? Au liombwe kuandaa maandamano?
Kama unaamini kuwa ile ndiyo ilikuwa barua iliyopelekwa Polisi basi huna akili.Polisi sio sehemu ya umma ? Ulivyo bwege
Taarifa kwa umma unaelewa maana yake?
Wakati mwingine jaribu kuficha utaahira wako.Uzuri moderators wanafahamu kazi yao wamekuleta kwenye huu uzi angalia ipo huu uzi mwanzoni kabisa wa hii mada
Heko moderators kukulleta huku mjinga wewe ili uione
Ona JF ilivyovamiwa na kuigeuza kutoka "home of great thinkers" to "kusanyiko la mbumbumbu". Wewe wapi umeona hii ni barua ya Chadema kuomba kufanya maandamano?Yaani Chadema kiboko yaani Afisa habari ndie anaomba kibali cha Maandamano
Hiki ni kituko cha karne
Yaani Chadema hata protocol ya bani aandike kuomba kibali hawajui
Viongozi wa juu wa kanda wana mgomo wamegoma kuandika nini?
Hiyo sio barua ya kiofisi hiyo
Jeshi la polisi halihitaji hata kuijibu
Utajua mwenyewe wacha msd watoe mabandeji na mapamba kwa ajili ya mahogo ya kutosha!Hiyo siyo barua iliyopelekwa Polisi bali taarifa kwa Umma, wewe usiyesoma vizuri ndiye huna hadhi.
Ni vile tu Sheria imeelekeza kufanya hivyo,Vipi kama wote ni Wendawazimu?yaani polisi,chadema,Wananchi,Viongozi.
Kwa hiyo mbowe na lisu kwa kuwa ni vingunge wa chadema watakuwa frontline kuongoza mapambano?Hata Makongoro Nyerere alikuwa Chadema na huku baba yake ni gwiji wa CCM. Sio lazima watoto wa Mbowe na Lissu nao ni wanaharakati za kisiasa, nao wana maamuzi yao kama binadamu.
Badala ya kutumia nguvu nyingi kutukana, ingeonyesha una hekima kama na busara kama ungetuhakikishia kuwa mbowe na lisu na familia zao watakuwa frontline. Hilo ndiyo swali la mwanajamii alilouliza kutaka kujua.We mbwah hv unajikuaga ni nani kwenye hii nchi...!!
Hili sio ombi ni taarifaAsante sana, kwa taarifa ni muhimu sana, inaonyesha Chadema sasa ni chama makini kinachofuata katiba, sheria taratibu na kanuni.
This is very good news and a good move, ombi kwa uongozi wa Chadema, uwe tayari kupokea majibu yao kesho, wakikataliwa wasiandamane.
P
Unavyosema sasa hapo nyuma chadema iliwahi kuvunja amaniAsante sana, kwa taarifa ni muhimu sana, inaonyesha Chadema sasa ni chama makini kinachofuata katiba, sheria taratibu na kanuni.
This is very good news and a good move, ombi kwa uongozi wa Chadema, uwe tayari kupokea majibu yao kesho, wakikataliwa wasiandamane.
P
MTANYOOOKA TU WAHUNI NYIENdani ya Taarifa yao wameonyesha Maandamano yao yatakapoanzia na kuishia, pamoja na Njia ambazo Maandamano hayo yatakamopita.
Taarifa yao hii hapa
Mungu Ibariki Chadema.
Hii imeandikwa na Mwanasheria nguri........ polisi hawaombwi wanapewa taarifaAsante sana, kwa taarifa ni muhimu sana, inaonyesha Chadema sasa ni chama makini kinachofuata katiba, sheria taratibu na kanuni.
This is very good news and a good move, ombi kwa uongozi wa Chadema, uwe tayari kupokea majibu yao kesho, wakikataliwa wasiandamane.
P
Mbona hueleweki? Hilo la kukataliwa linatoka wapi? Wametoa taarifa ya kuandamana kwa amani kama Katiba inavyowataka na wameomba ulinzi kama inavyotakiwa.ombi kwa uongozi wa Chadema, uwe tayari kupokea majibu yao kesho, wakikataliwa wasiandamane.
P
Mkuu wakikataa wasiandamane tena?Asante sana, kwa taarifa ni muhimu sana, inaonyesha Chadema sasa ni chama makini kinachofuata katiba, sheria taratibu na kanuni.
This is very good news and a good move, ombi kwa uongozi wa Chadema, uwe tayari kupokea majibu yao kesho, wakikataliwa wasiandamane.
P
Mkuu Paskal unanifanya niamini kuwa The level of compliance with laws correlates to the level of immorality. Na maisha ya kufata sheria ni kuishi bila hekima na busara ingawa sheria nayo ina hekima yake.Asante sana, kwa taarifa ni muhimu sana, inaonyesha Chadema sasa ni chama makini kinachofuata katiba, sheria taratibu na kanuni.
This is very good news and a good move, ombi kwa uongozi wa Chadema, uwe tayari kupokea majibu yao kesho, wakikataliwa wasiandamane.
P
Mbona unasema Mbowe anatumia utajiri wa familia kuendesha na kuimarisha CHADEMA- unaitoa aje familia ya Mbowe kwenye CHADEMA?Vyama vya siasa siyo mali ya familia
1. Kwanza you are rightMkuu Paskal unanifanya niamini kuwa The level of compliance with laws correlates to the level of immorality. Na maisha ya kufata sheria ni kuishi bila hekima na busara ingawa sheria nayo ina hekima yake.
Sheria inasema ukitaka kuandamana toka taarifa polisi.(SAWA). Sheria hiyo hiyo inasema wenye mamlaka ya kuchuguza uhalifu ni hapa Tanzania ni polisi. CHADEMA wanataka Scotland Yard. Halafu unawapa sifa hapa kwamba wanafata sheria?
Kwani wanaoandamana hawalipi kodi? Nchi nyingi hapa duniani hutokea maandamano uliwahi kusikia watu wanaenda kuandamana porini? Na kama kuna haja ya kuwashauri waliotoa taarifa ya kuandamana kuhusu muda, siku na njia ya maandamano basi ingekuwa busara kukutana nao wazungumze na kukubaliana jinsi ya kufikisha ujumbe wao. Haya tunayaongea watu ambao wala si wana Chadema lakini tunaona haja ya Taifa kuendeshwa kistarabu. Tulipambania uhuru wa nini kama leo tunapigana, kuumizana na kutendeana unyama wenyewe kwa wenyewe?Kama unaandamana porini ambako hakuna makazi na viwanja vya watu au mashamba ya watu na hakuna mali asili nadhani huhitaji kibali sababu kisheria huja trespass eneo la mtu au la mali asili
Lakini kama utatumia barabara kuna sheria za usalama barabarani lazima upate kibali polisi ili usisumbue watumia Barabara wengine wasio na mpango na maandamano kuzuia uhuru wao wa kutumia barabara na wanalipa kodi kwa kila lita ya mafuta wananunua zijenge barabara hizo