CHADEMA wakataza

CHADEMA wakataza

wewe dada Chinga utakana majina yote uliyonayo. Kwani inakufurahisha nini kujiita mwanaume wakati wewe ni mwanamke.

Be proud of your gender for a minute! Unadhani ukijiita mwanamme ndiyo itakupa nguvu au heshima hapa?
Bwana wako Mbowe ni mwanaume mbona hana heshima ni BARMADE na DJ.unaweza kumlinganisha na DR.RICE? mwanakijiji hata utumie Mwafrka wa Kike hasaidii kitu jibu hoja sio kubadili majina kwa kila hoja ikikushinda.
 
Kubali kwanza kutumia gender yako hapa na sio kujiita mwanamme wakati wana JF wanakujua hapa jinsi unavyohusika na uteuzi wa RO kwenye kazi yake na yote uliyofanya hadi ukarudishwa nyumbani toka London.
 
At the end of the day.. uongozi wa chedema unajulikana na watu wenyewe nikwamba tu hawajapata fursa ya kuhujumu ndio wanawania. Nilikuwepo hai wakati Mbowe akimuibia kura Alex Lema.. Sasa na vichwa vyenu vibovu mpeni nchi iliawaonyeshe mziki wake unavyoenda (Mugabe style)... CCM imeoza lakini hawa nao ni Utumbo wa mamba... The truth is wanajifanya wema lakini hakuna hicho kitu. Its a good thing kama wana speak against CCM ambayo at then moment, kusema chafu would be an understatement.... LAKINI THEY ARE of the SAME or worse breed... Acheni kimbelembele...
 
kwi kwi kwi kwi ..

Yaani nafurahia kuona rants za wanaccm hapa. maji yamewafika shingoni na muda si mrefu tutaanza kuwapeleka ukonga mmoja baada ya mwingine.

kutumia maneno makali kama kimbelembele na mengine hakujengi hoja yako mkuu!
 
At the end of the day.. uongozi wa chedema unajulikana na watu wenyewe nikwamba tu hawajapata fursa ya kuhujumu ndio wanawania. Nilikuwepo hai wakati Mbowe akimuibia kura Alex Lema.. Sasa na vichwa vyenu vibovu mpeni nchi iliawaonyeshe mziki wake unavyoenda (Mugabe style)... CCM imeoza lakini hawa nao ni Utumbo wa mamba... The truth is wanajifanya wema lakini hakuna hicho kitu. Its a good thing kama wana speak against CCM ambayo at then moment, kusema chafu would be an understatement.... LAKINI THEY ARE of the SAME or worse breed... Acheni kimbelembele...[/QUOTE

Babu kubwa kama kuchanganyikiwa umechanganyikiwa wewe mwanakijiji kuniona mwanamke, yaani una bifu hadi na wanawake kweli wewe hamnazo? umeumia sana na huyo dada wa London basi kunywa sumu.
RO alipewa ukurugenzi wa utawala wa Mkapa kama humjui, uliza acha kukurupuka na kusema tu .
 
KJ, siamini kama Chadema wameingilia kinachofanyika humu na badala yake kama vile entity yoyote ile ambayo ina trade mark yake au copyright ya kitu fulani wanayo haki ya kutaka mtu mwingine yoyote asiitumie bila idhini yao.

Wewe ulivyoiweka hujanukuu moja kwa moja jinsi ilivyo. Hivyo wanayo haki ya kisheria kusimamia matumizi ya nembo, misemo, na alama za chama chao.

Vivyo hivyo, watu wa CUF wanaweza kuja kukuomba uondoe bendera yao unless wamekupa idhini ya wewe kuitumia kama mwakilishi wao na wakifanya hivyo watakuwa ndani ya haki yao na si udikteta.

Hilo linawahusu CCM pia, matumizi ya alama, nembo n.k ya kitu chochote ambacho ni rasmi inaongozwa na sheria. Huwezi kutetea uvunjaji wa sheria kwa sababu hupendi sheria hiyo.

Ni kwa sababu hiyo basi UN waliwahi kumuambia bwana mdogo mmoja wa bongo alipoanzisha tovuti ya kufurahia kuteuliwa kwa Dr. Migiro na kuweka Nembo ya Umoja wa Mataifa. Ofisi ya Katibu Mkuu wa UM ilimuandikia na kumtaka aondoe nembo hiyo mara moja lakini haikumkataza kushabikia uteuzi wa Dr. Migiro.

Nadhani utaelewa ni kwanini basi Chadema kama chama halali kinaweza kuamua matumizi ya alama zao.

MJJ,
Kumradhi mkuu, hapa sidhani kama utetezi wako una ukweli wowote. Ile statement ya CHADEMA sidhani kama wameiandikisha mahali popote na kuimiliki kisheria. Pia hata kama wataidai kuwa ni yao kutokana na matumizi yao ya mara kwa mara, bado haimkatazi mtu mwingine yeyote kuitumia as long as hanufaiki nayo kibiashara au kwenye matumizi yanayofanana na ya CHADEMA. Kwa hiyo mimi bado sikubaliani na huo utetezi wako na pia mfano ulioutoa, nafikiri kwa vyovyote kutakuwa na zaidi ya hayo uliyotueleza na ndio maana UN wakaingilia. Hapa nilichoona walichofanya CHADEMA ni ifuatavyo;
  1. Kwa wao kuwasiliana moja kwa moja na Asha, ina maana wana 'invested interests' na yanayotokea humu mtandaoni, na wanataka ku-control baadhi ya postings. Kwa hiyo tunapowapiga vijembe CCM kwa propaganda zao, nafikiri tusiache kuwajumlisha na CHADEMA kwa kuingilia mikutano (online) ya wananchi.
  2. Kwangu mimi sijaona kama kuna ubaya kama shabiki wao akitumia mission statement yao tena kwa kuwatetea na wala hajadai hata siku moja kuwa anakiongelea chama. Hili nilishamuuliza hapo awali.
  3. Inaelekea CHADEMA pia waliona hapo awali kuwa Asha ni mtangazaji wao mzuri wa itikadi ya CHADEMA mpaka tu pale hii debate ya ukabila ndani ya CHADEMA iliposhika kasi. Inanishangaza kuona kuwa CHADEMA wanapigania uhuru wa habari lakini hawataki za kwao zikitundikwa uani. Sasa kama leo wanafanya hivi wakati hawana nguvu za dola, tutegemee nini watakapo-contol usalama wa Taifa? JF itafungwa kabisa?
  4. Inafahamika kuwa kuna wapenzi na viongozi wa CHADEMA humu mtandaoni, kwa mfano Mnyika. Je ni vema kuanzia hivi sasa tukawachukulia kuwa kama wapelelezi wa CHADEMA waliomripoti Asha kwa uongozi wa chama? Kwa nini hawaku-deal na JF as mtandao wameamua kumbana na Asha as an individual?
  5. Bendera ninayotumia hivi sasa ni ya CHADEMA, ina maana nisubiri wao wanipeleke mahakamani?
  6. MJJ, nafikiri tusiwe na double standards. Tukiwa tunawabana CCM, vile vile tuwaweke kiti moto CHADEMA, CUF, TLP, NCCR n.k. maana bila hivyo tutakuwa tunawalea vibaya.
  7. Mwisho, nahitaji muongozo wa Moderator atueleze maoni yake, na nini tukifanye, kutokana na huku kuingiliwa na vyama vya siasa katika, sio majadiliano yetu tu, bali hata jinsi tunavyojionyesha mtandaoni. Hili ni muhimu sana kwa uhuru wetu hapa JF kwani wapo mashabiki wa vyama mbali mbali, na tungependa kuona mawazo yao bila ya kuogopa kufukuzwa kwenye vyama vyao hasa ukitilia maanani jinsi tulivyowapigia makelele wale waliowatia ndani vijana wetu na kuchukua vi-computa vyao.

________________________________________
"CHADEMA ni chama mbadala kinachokua na kinachoongozwa kwa Falsafa ya "Nguvu ya Umma" na kuamini katika itikadi ya "Mrengo wa Kati". CHADEMA inawataka Watanzania kuelewa kwamba mabadiliko ya kweli yataletwa na kubadilisha mfumo wa utawala. Maendeleo ya kweli hayawezi kuletwa na mafisadi walewale, wa chama kile kile, chenye uoza ule ule, wakiendeleza yale yale kwa ari, nguvu na kasi mpya.CHADEMA inatambua kwamba kwa falsafa ya Chukua Chako Mapema (CCM),Tanzania yenye neema kamwe haitawezekana"

*Hii Signature Nimeiweka Ili Kupinga CHADEMA Kuingilia Uhuru wa Wana-JF
 
Babu kubwa kama kuchanganyikiwa umechanganyikiwa wewe mwanakijiji kuniona mwanamke, yaani una bifu hadi na wanawake kweli wewe hamnazo? umeumia sana na huyo dada wa London basi kunywa sumu.

Wewe ndio utakunywa sumu kwa vile huna kazi hapa zaidi ya kutaka kujiita mwanamme as if itakuongezea sifa or something.

RO alipewa ukurugenzi wa utawala wa Mkapa kama humjui, uliza acha kukurupuka na kusema tu .

Kuulizwa utaulizwa wewe ambaye kuanzia RO atoke London kuja bongo haikuchukua muda na wewe umetoswa?

Pole mama ndiyo maisha haya!
 
Kubali kwanza kutumia gender yako hapa na sio kujiita mwanamme wakati wana JF wanakujua hapa jinsi unavyohusika na uteuzi wa RO kwenye kazi yake na yote uliyofanya hadi ukarudishwa nyumbani toka London.
Kwanini wewe RO ulitaka akufanye nini? unamtaja kila nukta? hakutoshi Mzee mzima Mbowe? si umepewa vijisenti vya website.hutosheki na sasa unakuja na hili la Mwanahalisi ili upate chochote, yaani unaishi kwa matukio ndugu yetu? nani karudi toka London na mimi niko majuu hivi sasa. wewe ni mod humu tizama IP addres yangu.pumbavu wee.
 
MJJ,
Kumradhi mkuu, hapa sidhani kama utetezi wako una ukweli wowote. Ile statement ya CHADEMA sidhani kama wameiandikisha mahali popote na kuimiliki kisheria. Pia hata kama wataidai kuwa ni yao kutokana na matumizi yao ya mara kwa mara, bado haimkatazi mtu mwingine yeyote kuitumia as long as hanufaiki nayo kibiashara au kwenye matumizi yanayofanana na ya CHADEMA. Kwa hiyo mimi bado sikubaliani na huo utetezi wako na pia mfano ulioutoa, nfikiri kwa vyovyote kutakuwa na zaidi ya hayo uliyotueleza na ndio maana UN wakaingilia. Hapa nilichoona walichofanya CHADEMA ni ifuatavyo;
  1. Kwa wao kuwasiliana moja kwa moja na Asha, ina maana wana 'invested interests' na yanayotokea humu mtandaoni, na wanataka ku-control baadhi ya postings. Kwa hiyo tunapowapiga vijembe CCM kwa propaganda zao, nafikiri tusiache kuwajumlisha na CHADEMA kwa kuingilia mikutano (online) ya wananchi.
  2. Kwangu mimi sijaona kama kuna ubaya kama shabiki wao akitumia mission statement yao tena kwa kuwatetea na wala hajadai hata siku moja kuwa anakiongelea chama. Hili nilishamuuliza hapo awali.
  3. Inaelekea CHADEMA pia waliona hapo awali kuwa Asha ni mtangazaji wao mzuri wa itikadi ya CHADEMA mpaka tu pale hii debate ya ukabila ndani ya CHADEMA iliposhika kasi. Inanishangaza kuona kuwa CHADEMA wanapigania uhuru wa habari lakini hawataki za kwao zikitundikwa uani. Sasa kama leo wanafanya hivi wakati hawana nguvu za dola, tutegemee nini watakapo-contol usalama wa Taifa? JF itafungwa kabisa?
  4. Inafahamika kuwa kuna wapenzi na viongozi wa CHADEMA humu mtandaoni, kwa mfano Mnyika. Je ni vema kuanzia hivi sasa tukawachukulia kuwa kama wapelelezi wa CHADEMA waliomripoti Asha kwa uongozi wa chama? Kwa nini hawaku-deal na JF as mtandao wameamua kumbana na Asha as an individual?
  5. Hivi sasa nimeamua kutumia bendera ya CHADEMA ina maana nisubiri wao wanipeleke mahakamani?
  6. MJJ, nafikiri tusiwe na double standards. Tukiwa tunawabana CCM, vile vile tuwaweke kiti moto CHADEMA, CUF, TLP, NCCR n.k. maana bila hivyo tutakuwa tunawalea vibaya.
  7. Mwisho, nahitaji muongozo wa Moderator atueleze maoni yake, na nini tukifanye, kutokana na huku kuingiliwa na vyama vya siasa katika, sio majadiliano yetu tu, bali hata jinsi tunavyojionyesha mtandaoni. Hili ni muhimu sana kwa uhuru wetu hapa JF kwani wapo mashabiki wa vyama mbali mbali, na tungependa kuona mawazo yao bila ya kuogopa kufukuzwa kwenye vyama vyao hasa ukitilia maanani jinsi tulivyowapigia makelele wale waliowatia ndani vijana wetu na kuchukua vi-computa vyao.

________________________________________
“CHADEMA ni chama mbadala kinachokua na kinachoongozwa kwa Falsafa ya “Nguvu ya Umma” na kuamini katika itikadi ya “Mrengo wa Kati”. CHADEMA inawataka Watanzania kuelewa kwamba mabadiliko ya kweli yataletwa na kubadilisha mfumo wa utawala. Maendeleo ya kweli hayawezi kuletwa na mafisadi walewale, wa chama kile kile, chenye uoza ule ule, wakiendeleza yale yale kwa ari, nguvu na kasi mpya.CHADEMA inatambua kwamba kwa falsafa ya Chukua Chako Mapema (CCM),Tanzania yenye neema kamwe haitawezekana”

*Hii Signature Nimeiweka Ili Kupinga CHADEMA Kuingilia Uhuru wa Wana-JF

Wewe hujui kilichoendelea kati ya Asha na Chadema kwa hiyo hizi rants zijui unazitoa wapi.
 
Kwanini wewe RO ulitaka akufanye nini? unamtaja kila nukta? hakutoshi Mzee mzima Mbowe? si umepewa vijisenti vya website.hutosheki na sasa unakuja na hili la Mwanahalisi ili upate chochote, yaani unaishi kwa matukio ndugu yetu? nani karudi toka London na mimi niko majuu hivi sasa. wewe ni mod humu tizama IP addres yangu.pumbavu wee.

Naona umeanza kutumia matusi ili ufungiwe tena kama last time na ukirudi uanze vilio kuwa JF kuna upendeleo.
 
MwK,
Inaelekea wewe unakifahamu, hebu tusimulie.

Niwasimulie na nani?

So far Da Asha hajatoa hiyo email ili kujua ni lini alikatazwa na Chadema kutumia tamko lao na katika mazingira yapi lakini wewe umesharukia kama kawaida ya chuki zako dhidi ya chadema kuanza kudai kuwa haki haikutendeka.

Hesabu mpaka 10000 kabla hujarukia na kujibu chochote kinachohusu chadema kwa vile most of time unakuwa wrong na unajiabisha.
 
well nimekusikia endelea na hiyo kampeni naamini ni haki yako kupinga unalopinga, ndio uzuri wa demokrasia. More power to you.

MJJ,
Natumaini ulishiriki katika kupigia kelele ule ujangili waliofanyiwa vijana wa JF jijini Dar. If that was the case, why can't you say something more than your last statement, which was empty?

Let's be honest, just replace CHADEMA with CCM in Asha's original statement, how would have it smelled? Definitely usalama wa taifa.

We might not agree on how and what to criticise, but it is important to know that it is necessary. It fulfils the same function as pain in the human body, which as we know, calls attention to an unhealthy state of things. I trully do expect more from you.
 
Nimekushauri kuhesabu mpaka 10000 kabla ya kuandika na kujiabisha kama kawaida yako. Unajua chochote kuhusu kilichotokea kati ya Asha na Chadema?
 
Niwasimulie na nani?

So far Da Asha hajatoa hiyo email ili kujua ni lini alikatazwa na Chadema kutumia tamko lao na katika mazingira yapi lakini wewe umesharukia kama kawaida ya chuki zako dhidi ya chadema kuanza kudai kuwa haki haikutendeka.

Hesabu mpaka 10000 kabla hujarukia na kujibu chochote kinachohusu chadema kwa vile most of time unakuwa wrong na unajiabisha.

Bibie MwK,
Then, kama huna la kutusimulia, tafadhali sana kaa kimya. Ukikaa kimya tutashukuru sana ili wale wenye bongo zao zilizotulia kama,FMES, MJJ, Savimbi n.k., waendelee na mjadala. Kumbuka, you can prove your worth with your actions, not with a foul mouth.

Usilete hapa amri zako za kutaka ninyamaze wakati ukieneza chuki zako za kidini hapa. Toka lini umejenga heshima kwa Mkjj na FMES?
 
MJJ,
Natumaini ulishiriki katika kupigia kelele ule ujangili waliofanyiwa vijana wa JF jijini Dar. If that was the case, why can't you say something more than your last statement, which was empty?

Let's be honest, just replace CHADEMA with CCM in Asha's original statement, how would have it smelled? Definitely usalama wa taifa.

We might not agree on how and what to criticise, but it is important to know that it is necessary. It fulfils the same function as pain in the human body, which as we know, calls attention to an unhealthy state of things. I trully do expect more from you.

mzee mimi ni mtu mmoja; nachangia ninachochagua na natolea maoni ninachoamua. Sasa nikiamua kutochangia pia ni uamuzi wangu. Nafuatilia hoja zako na endelea kuzijengea hoja siyo kila mtu achangie. Nafurahishwa na hoja zako zisimamie tu kwa nguvu na mimi kutochangia kusiwe tatizo. Nimeshatoa msimamo wangu kuhusu mada yako. Nadhani tunaelewana au hadi nijitokeze kulaani ndio hoja yako itakuwa na nguvu?
 
kwi kwi kwi kwi ..

Yaani nafurahia kuona rants za wanaccm hapa. maji yamewafika shingoni na muda si mrefu tutaanza kuwapeleka ukonga mmoja baada ya mwingine.

kutumia maneno makali kama kimbelembele na mengine hakujengi hoja yako mkuu!

Mimi sio mwana CCM.. mimi ni Mtanzania.. I do not condone the perpetuation of CCM's rule to the detriment of the people pf the Republic. CCM imeoza.. it needs to be revamped or replaced... Both of which are difficult.. the people in power.. (government and legislature and even some elements of the judiciary) are of the opinion that things are fine and change will not happen.. Kureplace CCM is a joke because hakuna any better alternative.. its like two different types of cancer.... they have different characteristics but all kill.. Parliamentary democracy hardly works in rich conutries let alone in poor countries with lack of adequate education. Tutakuwa kama Kenya, where an elite will develop... entrench itself and RULE everyone else.. Revolutions may come and go but they will just create a new elite..(history has proven this countless times).. SO the oposition in their current form and capacity is a joke.lol They cant even demonstrate democracy in their own internal systems.lol.. or good governance therein. Wataweza nchi?

So my Hon. Friend "Kwikwikwi" right back at you... although I do not see the humour in the current state of turmoil that my country is placed in bu the CCM regime or the overly theatrical attempts by opportunistic persons to overturn this problem without once addressing the real issues. PLEASE.. CHADEMA, CCM,CUF whatever u call them.. they are symptoms of the same disease.
 
Kubwajinga said:
MJJ,
Natumaini ulishiriki katika kupigia kelele ule ujangili waliofanyiwa vijana wa JF jijini Dar. If that was the case, why can't you say something more than your last statement, which was empty?

Let's be honest, just replace CHADEMA with CCM in Asha's original statement, how would have it smelled? Definitely usalama wa taifa.

We might not agree on how and what to criticise, but it is important to know that it is necessary. It fulfils the same function as pain in the human body, which as we know, calls attention to an unhealthy state of things. I trully do expect more from you.

Nimekushauri kuhesabu mpaka 10000 kabla ya kuandika na kujiabisha kama kawaida yako. Unajua chochote kuhusu kilichotokea kati ya Asha na Chadema?

Nafikira hii niliiaddress kwa MJJ.
Au MJJ ndiye Mwafrika wa Kike??

___________________________________________
 
Back
Top Bottom