CHADEMA, wakati Tundu Lissu anasimikwa uchifu kule Geita mlishangilia sana wala hamkusema uchifu ulifutwa

Hakunaga chief wa kike usukumani labda kama walimaanisha 'cheff' na sio 'chief'

...Rais kaingizwa mkenge kakubali kuwa chaff(mpishi)
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787]

Muha....
Soma historia ya Kigoma kabla ya kutoa majibu. Hiyo ilikuja juzi tu and that's why, kila wakitafuta wahamiaji haramu, wakutoka huko wanapewa kipaumbele, hata baada ya miaka kadhaa. Muulize Askofu Kakobe atakueleza vema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…