Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
wacha weee !!Inasemekana ikuwepo Singida. Aliendesha kikao na wajerumani akiwa amekaa juu ya mkuki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wacha weee !!Inasemekana ikuwepo Singida. Aliendesha kikao na wajerumani akiwa amekaa juu ya mkuki.
Bweshee Pale Mbeya Mbalizi yupo chief Mwanamama mpaka Kesho YUPO nenda .Rukwa Sumbawanga kulikuwa na chief Mwamama Mery KTK milima ya Itwelele ULIZA ?johnthebaptist ulisha wahi kumuona Chief mwanamke?
wasafwa Mbalizi MBEYA ,WAFIPA SUMBAWANGAHivi ni kabila gani waliwahi kuwa na Chifu mwanamama ?
chadema pumzi ndefu huwezi shindana nao wachovu kama wewehawa jamaa kuwaelewa inafaa ujipumbaze kwanza kama wao.
huyu mama ni chief wa Wasafwa mbalizi MBEYAwasafwa Mbalizi MBEYA ,WAFIPA SUMBAWANGA
Hakunaga chief wa kike usukumani labda kama walimaanisha 'cheff' na sio 'chief'Nimewasoma makamanda humu mitandaoni wakipiga porojo eti uchifu ulifutwa, ulifutsa wapi?
Mbona akina Chifu Marealle bado wanahudumu?
Mbona Tundu Lisu wakati wa kampeni alisimikwa uchifu?
Mbona pale Kalenga Chifu Mkwawa bado anahudumu?
Nawakumbusha tu maana kwa sasa chadema wanaparamia tu kila mara Hamza mara Jaji yaani ni full kuhangaika.
Mungu ni mwema wakati wote!
pumzi ndefu hawa wanaoandamana twitter!!!chadema pumzi ndefu huwezi shindana nao wachovu kama wewe
Yes, Chifu Shija maeneo ya Shinyanga kwa Wasukumajohnthebaptist ulisha wahi kumuona Chief mwanamke?
Wasukuma kule Shinyanga. Chifu wao aliitwa ShijaHivi ni kabila gani waliwahi kuwa na Chifu mwanamama ?
Soma historia ya Kigoma kabla ya kutoa majibu. Hiyo ilikuja juzi tu and that's why, kila wakitafuta wahamiaji haramu, wakutoka huko wanapewa kipaumbele, hata baada ya miaka kadhaa. Muulize Askofu Kakobe atakueleza vema.[emoji44][emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787]
Muha....
JE? Chief thereza?johnthebaptist ulisha wahi kumuona Chief mwanamke?