CHADEMA, wakati Tundu Lissu anasimikwa uchifu kule Geita mlishangilia sana wala hamkusema uchifu ulifutwa

CHADEMA, wakati Tundu Lissu anasimikwa uchifu kule Geita mlishangilia sana wala hamkusema uchifu ulifutwa

wasafwa Mbalizi MBEYA ,WAFIPA SUMBAWANGA
huyu mama ni chief wa Wasafwa mbalizi MBEYA

chief.png
 
Nimewasoma makamanda humu mitandaoni wakipiga porojo eti uchifu ulifutwa, ulifutsa wapi?

Mbona akina Chifu Marealle bado wanahudumu?

Mbona Tundu Lisu wakati wa kampeni alisimikwa uchifu?

Mbona pale Kalenga Chifu Mkwawa bado anahudumu?

Nawakumbusha tu maana kwa sasa chadema wanaparamia tu kila mara Hamza mara Jaji yaani ni full kuhangaika.

Mungu ni mwema wakati wote!
Hakunaga chief wa kike usukumani labda kama walimaanisha 'cheff' na sio 'chief'

...Rais kaingizwa mkenge kakubali kuwa chaff(mpishi)
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787]

Muha....
Soma historia ya Kigoma kabla ya kutoa majibu. Hiyo ilikuja juzi tu and that's why, kila wakitafuta wahamiaji haramu, wakutoka huko wanapewa kipaumbele, hata baada ya miaka kadhaa. Muulize Askofu Kakobe atakueleza vema.
 
Back
Top Bottom