CHADEMA wakati wenzenu wanaunga mkono juhudi mliwatukana kuwa wamenunuliwa. Je, leo hii nanyi mmetolewa kwa mkopo?

Hili liko wazi,

CHADEMA iko katika harakati za kumpitisha Mgombea wa CCM kiulaini mwaka 2025. Chadema nao wameamua kuunga mkono juhudi kwa staili nyingine , na hawataki kusikia la muadhini wala la mnadi swala.

Naam nimemsiki Sugu juzi, nilishamsikia Mbowe aliyetoka kuwekwa jela na Mtawala kisha akamtoa alipojisikia (Naam aliwekwa na mtawala, rejea interview ya Kikeke na Madam President), nimemsikia Lema, nimeshindwa tu kumuhukumu Tundu Lissu mpaka sasa.

Anyway mpaka sasa tunafahamu mmerudi chapchap na mmeanza kuimba mapambio ya kusifu, sababu mmeahidiwa kurejeshewa MAJIMBO YENU na kuongeza idadi Bungeni ili kimataifa Imake sense. Njaa imewashinda sasa mmekubali kuwa Puppets wa regime.

Njia pekee mliyoona ya kurudisha majimbo mliyoahidiwa ni kusifu na kulegeza kamba kutoshambulia Superpower, mradi tu HAI, ARUSHA, TARIM, n.k zirudi kwenu.

Yes mmejishusha na kutumika sababu mmeshaona "NGUVU HALISI YA CHAMA DOLA NA MIHIMILI YAKE IKIAMUA KUCHUKUA MAJIMBO NA MITAA YOTE NCHINI"

Kwa sasa siyo ACT tena, bali CHADEMA ndiyo CCM B .

Nitoe pongezi kwa chama tawala kwa Kucheza karata zake Kibobezi,
Politics is not static but dyamic lazima uende na wakati
Walounga mkono wakati wa Magu tuliona mpaka madiwani wakihongwa milioni mbili mbili,sasa hivi ni maridhiano baina ya vyama kitu ambacho kwa Chadema kilikuwepo hata na rais JK
 
Kwa mapenzi ya mkono wenye nguvu wa Muumba, siku moja yule kiongozi mwovu akaondoshwa kwenye uso wa Dunia, naye msaidizi wake ndiye akawa mtawala. Naye huyu mtawala mpya, akawatoa wale ndugu zako wote ambao kiongozi jambazi aliwatia jela kwa uonevu, kisha akawarejesha waliotoroka kuuawa na yule mtawala jambazi, wewe kama manusura wa ule utawala wa jambazi shetani, utamwambia nini mtawala mpya aliyewaachia huru ndugu zako, na kuwaletea hakikisho la kuwa ule ushetani wa mtawala jambazi umekoma, hautarudiwa tena?
Meko alifariki kwa ahadi.. Umeongea ujinga mzee
 
Hivi, kukitokea kiongozi jambazi, akawaua baadhi ya wapendwa wako, waliosalia wakakimbia kujihifadhi ugenini, walionusurika akawatia jela na kuwapora mali zao, lakini wakati hayo yakitendeka, huyo kiongozi jambazi alikuwa na msaidizi wake aliyekuwa ametulia tu kimya akimtazama mkuu wake akifanya huo ushetani.

Kwa mapenzi ya mkono wenye nguvu wa Muumba, siku moja yule kiongozi mwovu akaondoshwa kwenye uso wa Dunia, naye msaidizi wake ndiye akawa mtawala. Naye huyu mtawala mpya, akawatoa wale ndugu zako wote ambao kiongozi jambazi aliwatia jela kwa uonevu, kisha akawarejesha waliotoroka kuuawa na yule mtawala jambazi, wewe kama manusura wa ule utawala wa jambazi shetani, utamwambia nini mtawala mpya aliyewaachia huru ndugu zako, na kuwaletea hakikisho la kuwa ule ushetani wa mtawala jambazi umekoma, hautarudiwa tena?

Rais Samia, hata awe na mapungufu kiasi gani, hakika atendelea kushukuriwa kwa kuuthamini utu na uhai wa binadamu. Ubora wa Rais Samia umechangiwa zaidi na ulinganisho na ule utawala wa kishetani uliomtangulia.

Mtu yeyote muuaji, ni mwovu mkuu, na ni xao la shetani.
Aliyembambika mbowe kesi ni nani?.. amekaa jela muda gani?

Anyway tugeuze, Mikutano ya kisiasa si iliendelea kuzuiwa na mama mpaka maka huu?

Unayatengaje haya yote unayosema ni maumivu na CCM ?
 
Hili liko wazi,

CHADEMA iko katika harakati za kumpitisha Mgombea wa CCM kiulaini mwaka 2025. Chadema nao wameamua kuunga mkono juhudi kwa staili nyingine , na hawataki kusikia la muadhini wala la mnadi swala.

Naam nimemsiki Sugu juzi, nilishamsikia Mbowe aliyetoka kuwekwa jela na Mtawala kisha akamtoa alipojisikia (Naam aliwekwa na mtawala, rejea interview ya Kikeke na Madam President), nimemsikia Lema, nimeshindwa tu kumuhukumu Tundu Lissu mpaka sasa.

Anyway mpaka sasa tunafahamu mmerudi chapchap na mmeanza kuimba mapambio ya kusifu, sababu mmeahidiwa kurejeshewa MAJIMBO YENU na kuongeza idadi Bungeni ili kimataifa Imake sense. Njaa imewashinda sasa mmekubali kuwa Puppets wa regime.

Njia pekee mliyoona ya kurudisha majimbo mliyoahidiwa ni kusifu na kulegeza kamba kutoshambulia Superpower, mradi tu HAI, ARUSHA, TARIM, n.k zirudi kwenu.

Yes mmejishusha na kutumika sababu mmeshaona "NGUVU HALISI YA CHAMA DOLA NA MIHIMILI YAKE IKIAMUA KUCHUKUA MAJIMBO NA MITAA YOTE NCHINI"

Kwa sasa siyo ACT tena, bali CHADEMA ndiyo CCM B .

Nitoe pongezi kwa chama tawala kwa Kucheza karata zake Kibobezi,
Chadema ni too tactical huwezi kuelewa we bwege
 
CHADEMA ni Wahuni wa Kisiasa. As long as maslahi yao binafsi yanalindwa wapo tayari kushirikiana na uongozi uliopo madarakani. Kwa sasa gharama za maisha zipo juu huwasikii wakiongelea hili, nchi inakopa ovyo ovyo bila kuonekana pesa inayokopwa inafanya kazi gani hawalizungumzii hili, agenda yao kubwa imebaki kwenye kukashifu utawala wa Chuma JPM, kiufupi asali waliyolambishwa inawazuzua, tangu waruhusiwe kufanya mikutano ya kisiasa wamegeuka kuwa 'Ki CCM kidogo' hawana hoja za msingi za kufanya uwasikilize
yani chadema wawe wahuni kuliko nyie wajinga wa ccm majizi na maporaji ya kura, kama kuna wahun dunia hii ccm na wafuas wao ni wahuni na wajinga wasiojielewa.
 
Kumbe ilipotea?
mlisema nyinyi bila kujua chadema iko mioyoni na ukitaka kujua hebu kamuulize yule mzee kemei wa crdb juzjuz aliitisha mkutano kule vunjo kilichomkuta ni yeye na wapambe wake tu kwisha kabisa ccm.
 
Kwani imefanya nini cha ajabu ni huko kujazana kwenye mikutano tu?
 
Hii imekaa vizuri sana.
Agenda kuu ya nchi kwa sasa ni utawala bora kwa maendeleo ya nchi.
Ccm, Chadema au chama kingine vina jukumu la kuhakikisha utawala bora.
Chadema wamesimamia agenda ya katiba bora towards utawala bora, haijalishi ni chama gani lakini nchi inahitaji utawala bora, so, tutamuunga mkono yeyote anayepigania utawala bora na sio kupigania vyama pekee.
 
CHADEMA ni Wahuni wa Kisiasa. As long as maslahi yao binafsi yanalindwa wapo tayari kushirikiana na uongozi uliopo madarakani. Kwa sasa gharama za maisha zipo juu huwasikii wakiongelea hili, nchi inakopa ovyo ovyo bila kuonekana pesa inayokopwa inafanya kazi gani hawalizungumzii hili, agenda yao kubwa imebaki kwenye kukashifu utawala wa Chuma JPM, kiufupi asali waliyolambishwa inawazuzua, tangu waruhusiwe kufanya mikutano ya kisiasa wamegeuka kuwa 'Ki CCM kidogo' hawana hoja za msingi za kufanya uwasikilize
Kwa sasa CCM tupo likizo tunakupa bata. Kazi yetu inafanywa kwa weledi mkubwa na CHADEMA. CHADEMA HOYEEE, ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MBOWE, ADUMU LEMA
 
Vumilia kdg, muda huu tuko kivingine kbs...ila mbeleni mtatuelewa tu
Halafu tukishawaelewa? Hiyo kuvingine ndio kujishobokesha kwa Samia? Maana Lissu anasema Rais Samia anamwita Lissu ni mdogo wake, Sugu anasema Rais Samia ni rafiki yake, Lema mwenye urafiki na Kikwete anasema alimwambia Kikwete ili amfakishie maombi yake kwa Rais Samia.
 
Back
Top Bottom