CHADEMA wakija kukubali huu upumbavu ndo utakuwa mwisho wao

CHADEMA imebaki Jina Ila Wale miamba wote waliondoka.
Ukiwaambia vijana hivi hawakuelewi. Ila ndio hivyo.

Huu ni ukweli Mchungu.
Sasa mkuu kama imebaki jina tu mbona upande uliopo mamlakani unahaha ili kuridhiana nao?

Inaingia akilini chama dola kiridhiane na jina tu? Kuna vyama 19 vyenye usajili wa kudumu kwanini maridhiano yamekwama hadi leo na wakati vyama vyote vipo tayari kwa maridhiano isipokuwa CHADEMA?
 

Miamba yote Imenunulika.
Magufuli na Samia ndio kazi waliyoiweza kununua miamba ya CHADEMA, Limebaki jina Tu.
 
1. Samia ni muuaji. Hakuna aliyemchagua awe Rais. Yeye na hilo genge lake analotawala nalo ni haramu. Nchimbi naye alikuwa haramu.

Kamwe hamtasameheka mkija kufanya huo ushenzi.

You’ve been warned…….respectfully.
Bahati mbaya tunyumbu twa Chadema tunaropokaaa! Hata viongozi wao wanaropokaaa! Wamefika mahakamani wanaulizwa wanayoropoka mitandaoni wanakana! Pumbavu sana!!
 
Huyo mtoto inaonyesha alipigwa risasi ya mgongo akadondokea kichwa so sad hapo kafanywa kugeuzwa ili atambulike vizuri..
 
Huyo mtoto inaonyesha alipigwa risasi ya mgongo akadondokea kichwa so sad hapo kafanywa kugeuzwa ili atambulike vizuri..
Yawezekana…..

Ila huoni utumbo wake ulivyotoka nje?

Hiyo inaashiria pia alipigwa risasi eneo la tumboni.

Huyo mtoto kaniuma sana aisee.

Na kuna video clip kabisa ikimwonyesha akikata roho.

Hapana kwa kweli……Mimi Samia siwezi kumsamehe hata kidogo.
 
Watanzania wote walishtushwa na Mauaji ya kutisha ya October 29.
Idadi kubwa ya watu wakaichukia CCM na kudona ni adui yao mkubwa.
Hawapo Chadema ila wakaona CHADEMA ndio tumaini lao.

Ila bahatimbaya sana CHADEMA ni Lissu Tu kwa sasa.
Ndio mtu pekee asiyefika bei.
 
Miamba yote Imenunulika.
Magufuli na Samia ndio kazi waliyoiweza kununua miamba ya CHADEMA, Limebaki jina Tu.
Mpaka sasa Lissu, Heche bado wako kwenye mstari sahihi. Lema watu walianza kumuhisi kitambo lakini nilidhani wabamuonea tu kama ambavyo sikudhani ya kuwa Mbowe alikuwa mtu wa kufika bei but I was so wrong, ushahidi uliodhahiri ndiyo unam-incriminate mtu kukwepa kusulubu wasio na hatia.
CCM ingekuwa imefanikiwa kuisambaratisha CHADEMA wasingekuwa wanahangaika kichoko mahakamani kwenye kesi ya Lissu kuchomeka topics ambazo literally ni nje ya kesi ya msingi.
NB: Vyama vyote viko tayari kwa reconciliation kasoro CHADEMA sasa kwanini wasifanye hayo maridhiano bila ya CHADEMA kama ni kweli mmeshakisambaratisha?
 
Hao hao waTanzania walioona CHADEMA kama mfariji wao ndiyo watu wenyewe ambao wameshikilia misimamo thabiti ya kutoyumbishwa licha ya wasaliti kuanza kujitenga wenyewe maana ukila cha mtu lazima ukifanyie kazi vinginevyo utapotea.
 
kweli shetani yupo. Majitu yako madarakani kwa gharama ya damu za watu wasio na hatia halafu yanaona kama si kitu
 
Mimi sijaangalia video nyingi na sintaangalia inaumiza sana sana kwa kweli ukiwaza haupati majibu waliwaza nini kuua watu wasio na hatia namna hiyo..
 
Chemchem tukisema hakuna mkate mgumu mbele ya billioni 5 muwe mnatuelewa.

1. Lemi tulimpiga na 1bn akadengua. Tukamuongeza nyingine akavuta usawa. Anakula mema ya nchi kwenye 5star hotels. Muulizeni Mange.

2. Mkurya tukamrushia 1bn yeye kanunulia magari ya bei mbaya. Jinga kweli hili

3. Ex MP wa ubungo yeye 1bn yake kaamua kununulia bondi za serikali na nyingine anajengea apartments

4. Mwanahabari mkuu wa chama 1bn yake kaamua kuagiza makonteina 1000 ya vipondozi kutoka china

Mnyaturu kakataa pesa eti anataka haki. Huyu tutampiga "LIFE" in segadance. Na ndiyo itakuwa kifo cha chadema
 
Hebu rudini nchini kwanza tusaidiane kuing'oa CCm.
Sio nyie mnabeba mabox huko USA mnaingiza dolari halafu sisi tunaumiziwa ndugu zetu huku nyie mkituhamasisha tu.
Njooni nyumbani tupambane kwa pamoja.
Kurudi nchini siyo tija kwani kila mtu anpambana kwa nafasi yake, mapambano yanayofanya na diaspora ni makubwa mno ndiyo nao serikali inawasakama, inawahujumu na inawawinda.
Haiwezekani wote mpanbane mkiwa sehemu moja, there are so many way to win a war.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…