BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,799
- 9,892
Na akafungwa Tanganyika?Mandela alifanya Mapambano akiwa Tanganyika..

Yani Chawa huwa wanajitoaga ufahamu sana...Sasa mkuu kama imebaki jina tu mbona upande uliopo mamlakani unahaha ili kuridhiana nao?
Inaingia akilini chama dola kiridhiane na jina tu? Kuna vyama 19 vyenye usajili wa kudumu kwanini maridhiano yamekwama hadi leo na wakati vyama vyote vipo tayari kwa maridhiano isipokuwa CHADEMA?
Himizeni vijana waingie kwenye kilimo kinalipa..si unaona heche ana magari matano kwa kilimohaki yako wewe ni IGNORE, kula kupuuzwa!
Polepole alishawaonya kuhusu hili mapema sana.1. Samia ni muuaji. Hakuna aliyemchagua awe Rais. Yeye na hilo genge lake analotawala nalo ni haramu. Nchimbi naye alikuwa haramu. Ndejembi naye ni haramu.
Kwa sasa nchi haina uongozi ulio halali na uliopewa ridhaa ya kuongoza na wananchi.
Watu wanaomuita huyo Samia ‘Rais’ wanakera sana na ni wapumbavu wasiojielewa.
Mbaya zaidi, licha ya kuua maelfu ya watu, wakiwemo watoto wengi, kuna watu bado wanamuita huyo Samia eti ‘mama’.
Mnamuitaje ‘mama’ mtu aliyeua watu wengi hivyo?
Huyo Samia alikuwa anaitwa hivyo affectionately. Hiyo affection ilikwisha Oktoba 29, 2025.
Mtamuitaje ‘mama’ mtu aliyeua watoto? Mna akili timamu kweli nyie watu?
CHADEMA mkija kuanza kumtambua huyo muuaji na kuanza kumuita ‘mama’, mtatupoteza watu wa kawaida kama mimi ambao hatuna vyama ila tunaongozwa na kanuni.
Watu kama mimi tumeamua kuwaunga mkono kwa sababu tumeona walau kwa juu juu, kidogo mnawajali Watanzania, hususan wale wqsio na chochote kama wale watoto waliouliwa na Samia.
Sasa fanyeni huo upumbavu wa kumtambua Samia na kuanza kumuita hilo jina la upendo halafu muone tutavyowatosa.
2. Hakuna kufanya maridhiano na Samia na CCM yake.
Mridhiane na Samia kwa misingi gani?
Tayari CCM walishawachezea akili kwenye yale maridhiano mliyotaka kufanya nao kipindi kile cha Kinana na Mbowe.
CCM hawana nia ya kweli ya kuridhiana nanyi.
Wanachokitaka ni uhalali feki kwa nyinyi kuwatambua wao.
Nanyi msiwe wapumbavu wa kutumika kama chambo tu.
Maridhiano na wauaji ni usaliti mkubwa sana kwa wale watoto waliomwaga damu zao ili Samia aendelee kung’ang’ania madarakani.
Kamwe hamtasameheka mkija kufanya huo ushenzi.
You’ve been warned…….respectfully.
Yupo Sea Cliff anakula marahaLemi tulimpiga na 1bn akadengua. Tukamuongeza nyingine akavuta usawa. Anakula mema ya nchi kwenye 5star hotels. Muulizeni Mange
ok.🐒1. Samia ni muuaji. Hakuna aliyemchagua awe Rais. Yeye na hilo genge lake analotawala nalo ni haramu. Nchimbi naye alikuwa haramu. Ndejembi naye ni haramu.
Kwa sasa nchi haina uongozi ulio halali na uliopewa ridhaa ya kuongoza na wananchi.
Watu wanaomuita huyo Samia ‘Rais’ wanakera sana na ni wapumbavu wasiojielewa.
Mbaya zaidi, licha ya kuua maelfu ya watu, wakiwemo watoto wengi, kuna watu bado wanamuita huyo Samia eti ‘mama’.
Mnamuitaje ‘mama’ mtu aliyeua watu wengi hivyo?
Huyo Samia alikuwa anaitwa hivyo affectionately. Hiyo affection ilikwisha Oktoba 29, 2025.
Mtamuitaje ‘mama’ mtu aliyeua watoto? Mna akili timamu kweli nyie watu?
CHADEMA mkija kuanza kumtambua huyo muuaji na kuanza kumuita ‘mama’, mtatupoteza watu wa kawaida kama mimi ambao hatuna vyama ila tunaongozwa na kanuni.
Watu kama mimi tumeamua kuwaunga mkono kwa sababu tumeona walau kwa juu juu, kidogo mnawajali Watanzania, hususan wale wqsio na chochote kama wale watoto waliouliwa na Samia.
Sasa fanyeni huo upumbavu wa kumtambua Samia na kuanza kumuita hilo jina la upendo halafu muone tutavyowatosa.
2. Hakuna kufanya maridhiano na Samia na CCM yake.
Mridhiane na Samia kwa misingi gani?
Tayari CCM walishawachezea akili kwenye yale maridhiano mliyotaka kufanya nao kipindi kile cha Kinana na Mbowe.
CCM hawana nia ya kweli ya kuridhiana nanyi.
Wanachokitaka ni uhalali feki kwa nyinyi kuwatambua wao.
Nanyi msiwe wapumbavu wa kutumika kama chambo tu.
Maridhiano na wauaji ni usaliti mkubwa sana kwa wale watoto waliomwaga damu zao ili Samia aendelee kung’ang’ania madarakani.
Kamwe hamtasameheka mkija kufanya huo ushenzi.
You’ve been warned…….respectfully.
Vita ni vita.. Utapambana pale ulipo...Na akafungwa Tanganyika?
Naunga ngono hojaHakuna Maridhiani na wauaji..
Ili hayo maridhiano yafanyike yafuatayo lazima yafanyike
1. Waliohusika wote na mauaji, yani aliyetoa amri ya kuua mpaka yule aliyevuta trigger risassi ikatoka na kuua wawajibishwe.
2. Maiti za Watangayike zipatike ili wazikwe kwa heshima kama wanadamu.. wale si ng'ombe
3. Uchaguzi mkuu urudiwe.
4. Katiba mpya
5. Maridhiano
Kinyume na hapo hakuna Maridhiano ...kamwe kamwe..
Ahsante umenijibu kiukomavu sanaa mkuu🙏🙏.Vita ni vita.. Utapambana pale ulipo...
Jibu zuri sana kwa wapumbafu wote wanaoleta propaganda kuhusu wazalendo wanaopambania haki wakiwa njePole pole alikuwa nchini mbona hamkumpa sapoti ya kupambana kwa pamoja? Mlituliza pumbu kama sio nyie na akatekwa pia mkatulia..!!
Unaongelea sana fedha,wewe ni CAG wa CCM?Kwanini mlipokea hizo fedha ili kumshinda Mh.Mbowe?
It is what it is.
Hebu rudini nchini kwanza tusaidiane kuing'oa CCm.
Sio nyie mnabeba mabox huko USA mnaingiza dolari halafu sisi tunaumiziwa ndugu zetu huku nyie mkituhamasisha tu.
Njooni nyumbani tupambane kwa pamoja.
Hizo ni ndoto, CHADEMA ya sasa ni imara mara mia zaidi ya CHADEMA iliyokuwa chini ya uongozi wa Mbowe. Kuhaha huku kwa CCM kunadhihirisha hayo, kitendo cha Lissu kuwa na strict principles ndiyo kimezidi kuiimarisha CHADEMA na ndipo CCM wanahangaika na wale wenye price tag ndani ya CHADEMA.
1. Samia ni muuaji. Hakuna aliyemchagua awe Rais. Yeye na hilo genge lake analotawala nalo ni haramu. Nchimbi naye alikuwa haramu. Ndejembi naye ni haramu.
Kwa sasa nchi haina uongozi ulio halali na uliopewa ridhaa ya kuongoza na wananchi.
Watu wanaomuita huyo Samia ‘Rais’ wanakera sana na ni wapumbavu wasiojielewa.
Mbaya zaidi, licha ya kuua maelfu ya watu, wakiwemo watoto wengi, kuna watu bado wanamuita huyo Samia eti ‘mama’.
Mnamuitaje ‘mama’ mtu aliyeua watu wengi hivyo?
Huyo Samia alikuwa anaitwa hivyo affectionately. Hiyo affection ilikwisha Oktoba 29, 2025.
Mtamuitaje ‘mama’ mtu aliyeua watoto? Mna akili timamu kweli nyie watu?
CHADEMA mkija kuanza kumtambua huyo muuaji na kuanza kumuita ‘mama’, mtatupoteza watu wa kawaida kama mimi ambao hatuna vyama ila tunaongozwa na kanuni.
Watu kama mimi tumeamua kuwaunga mkono kwa sababu tumeona walau kwa juu juu, kidogo mnawajali Watanzania, hususan wale wqsio na chochote kama wale watoto waliouliwa na Samia.
Sasa fanyeni huo upumbavu wa kumtambua Samia na kuanza kumuita hilo jina la upendo halafu muone tutavyowatosa.
2. Hakuna kufanya maridhiano na Samia na CCM yake.
Mridhiane na Samia kwa misingi gani?
Tayari CCM walishawachezea akili kwenye yale maridhiano mliyotaka kufanya nao kipindi kile cha Kinana na Mbowe.
CCM hawana nia ya kweli ya kuridhiana nanyi.
Wanachokitaka ni uhalali feki kwa nyinyi kuwatambua wao.
Nanyi msiwe wapumbavu wa kutumika kama chambo tu.
Maridhiano na wauaji ni usaliti mkubwa sana kwa wale watoto waliomwaga damu zao ili Samia aendelee kung’ang’ania madarakani.
Kamwe hamtasameheka mkija kufanya huo ushenzi.
You’ve been warned…….respectfully.
Nasikia malkia wa sheba analilia pole kutoka CHADEMA amesema eti hataki kwenye kile kiti hadi CHADEMA waje kumpa pole.CHADEMA imebaki Jina Ila Wale miamba wote waliondoka.
Ukiwaambia vijana hivi hawakuelewi. Ila ndio hivyo.
Huu ni ukweli Mchungu.
Mambo ya vyombo vya kimataifa huchukua muda. Hivyo tuliza kinyeo hicho.
Halafu, serikali gani halali inahaha kutaka maridhiano baada ya “kushinda” uchaguzi kwa 98%?
1. Samia ni muuaji. Hakuna aliyemchagua awe Rais. Yeye na hilo genge lake analotawala nalo ni haramu. Nchimbi naye alikuwa haramu. Ndejembi naye ni haramu.
Kwa sasa nchi haina uongozi ulio halali na uliopewa ridhaa ya kuongoza na wananchi.
Watu wanaomuita huyo Samia ‘Rais’ wanakera sana na ni wapumbavu wasiojielewa.
Mbaya zaidi, licha ya kuua maelfu ya watu, wakiwemo watoto wengi, kuna watu bado wanamuita huyo Samia eti ‘mama’.
Mnamuitaje ‘mama’ mtu aliyeua watu wengi hivyo?
Huyo Samia alikuwa anaitwa hivyo affectionately. Hiyo affection ilikwisha Oktoba 29, 2025.
Mtamuitaje ‘mama’ mtu aliyeua watoto? Mna akili timamu kweli nyie watu?
CHADEMA mkija kuanza kumtambua huyo muuaji na kuanza kumuita ‘mama’, mtatupoteza watu wa kawaida kama mimi ambao hatuna vyama ila tunaongozwa na kanuni.
Watu kama mimi tumeamua kuwaunga mkono kwa sababu tumeona walau kwa juu juu, kidogo mnawajali Watanzania, hususan wale wqsio na chochote kama wale watoto waliouliwa na Samia.
Sasa fanyeni huo upumbavu wa kumtambua Samia na kuanza kumuita hilo jina la upendo halafu muone tutavyowatosa.
2. Hakuna kufanya maridhiano na Samia na CCM yake.
Mridhiane na Samia kwa misingi gani?
Tayari CCM walishawachezea akili kwenye yale maridhiano mliyotaka kufanya nao kipindi kile cha Kinana na Mbowe.
CCM hawana nia ya kweli ya kuridhiana nanyi.
Wanachokitaka ni uhalali feki kwa nyinyi kuwatambua wao.
Nanyi msiwe wapumbavu wa kutumika kama chambo tu.
Maridhiano na wauaji ni usaliti mkubwa sana kwa wale watoto waliomwaga damu zao ili Samia aendelee kung’ang’ania madarakani.
Kamwe hamtasameheka mkija kufanya huo ushenzi.
You’ve been warned…….respectfully.
Misukosuko ya hapa na pale huwa haikosekani.
Chama kilichovurugika kwa uhakika ni CCM.
CCM wametapakaa damu za watoto wa Kitanzania kama huyu…..
View attachment 3670878
Huyu mtoto hata jina lake hatulijui.
Hatujui alizikwa wqpi.
Samia hata kutoa pole kwa wazazi na ndugu wa huyu mtoto, hajawahi.
Hii ndo kazi ya kutukuka iliyofanywa na polisi wa CCM.
Hivi kweli mtu unaweza kujenga hoja kwamba CCM wako sawa?
Balozi Nchimbi ashafika kizimkazi kutoa pole?