BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,799
- 9,892
Haya sawa.Hata ukipuuza haiondoi ukweli kwamba wewe ni UVCCM.
Endelea kudanganya UVCCM wenzako kwamba Polepole hakurudi bado yuko Cuba ameamua tu kunyamaza.
NB: Hauna authority ya kunipangia tuishie, hata pictures ziwe zimetoka wapi haiondoi ukweli wa tukio halisi, kwepa ukwepavyo lakini nyinyi na Samia wenu mmemuua Polepole.