Wanataka maridhiano na Chadema kwasababu wanajua sasa hivi Watanganyika wote wapo nyuma(bega kwa bega) na Chadema.. Hivyo wanafanya kila mbinu ili waridhiane na CDm.. Maana wakifanikiwa kuridhiana na CDM basi wanachi watakuwa wapole...... Mauaji ya Oct 29 ni laana ambayo haitakaa ifutike milele.. zile damu bado zinalia ardhini.... Na hazitanyamaza mpaka Haki ipatikane na Tanganyika mpya izaliwe
Mnasahau damu za Wazanzibari zilizomwagwa na siasa za Babu yenu Nyerere tokea 1964 mpaka 2020