PreGE2025 CHADEMA wakiongozwa na John Mnyika waitikia wito wa kufika kwenye Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

PreGE2025 CHADEMA wakiongozwa na John Mnyika waitikia wito wa kufika kwenye Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Sawa.
Tunasubiri taarifa ya kile kilichojadiliwa na maamuzi yake.
 
Wewe bila shaka utakuwa wakala wa shetani. Sifa kubwa ya shetani ni uharibifu.
sasa Mtakatifu Bams no reform no elections ni kujenga au kubomoa?

sio uharibifu wa muchakato ya kidemokrasia huo ndugu Mtakatifu wa chadema?🐒
 
Hivi ndivyo Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika alivyoongoza jopo la viongozi wa chama hicho kufika kwenye ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa leo, Jumanne Machi 18.2025

Hao viongozi wa Chadema watamkumbuka Mbowe hizo pick up tu walizopanda ilikuwa juhudi zake kutafuta

Naona zimeanza kuchoka kwa kukosa pesa za kufanyia service
 
dawa ipi sasa gentleman vibaka na matapeli wa kisiasa wameitwa kujieleza ikiwa bado chama chao ni cha siasa au dhehebu la dini la kukusanya sadaka kwa jina la tone tone?[emoji205]
Sema nini ndugu yangu Tlaatlaah mambo ya siasa ungeachana nayo ukadili na mapenzi.
 
Sema nini ndugu yangu Tlaatlaah mambo ya siasa ungeachana nayo ukadili na mapenzi.
mapenzi ya waTanzania kwa Dr.Samia Suluhu Hassani ni makubwa na mazito kupindukia.

My lady?
unadhani hayo yote yanatokana na dhamira na nia njema ya Dr.Samia Suluhu Hassan kwaajili ya maendeleo ya waTanzania wote tu, mpaka kufikia kiwango hicho cha kuaminika na kukubalika kiasi hicho ndani na nje ya Tanzania,

au kuna sababu nyingine ya ziada? :pedroP:
 
Jana ulikuwepo uzi wa kupotosha uliobandikwa na sio mwingine bali nguli wa kuspini(spin) habari na taarifa Erythrocyte, uliodai

CHADEMA yafikisha No Reform No Election kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Francis Mutungi​


kwenye maudhui ya uzi huo, Erythrocyte alienda mbali na kuwapotosha wasomaji wa Jamiiforums wa Watanzania na Duniani kote kwamba
  1. Habari kutoka CHADEMA zinaeleza kwamba Mkakati wa No Reform No Election utamfikia kila mlengwa
  2. lengo ni kumfikishia kila Mhusika jambo hili ni kujiepusha na lawama iwapo yatatokea mambo manene huko mbele.
  3. Kituo kinachofuata na ambacho kimebahatika kupelekewa habari hii Muhimu kwa Mustakhabari wa Nchi ni Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa.
chaku staajabisha
kumbe, CHADEMA ndiyo walioitwa huko!😌😌😌
 
Back
Top Bottom