Elections 2015 CHADEMA wakiongozwa na Lema wamkimbia Lowassa Jijini Arusha


Haa...nnimeanza kuamini ule uzi usemao ACT ni mpini wa CCM kuumaliza upinzani....
Yaani huyu MUSSA ALLAN kigeugeu kwelii... Mara kaishobokee ACT mara sasa hivi kapo bize na CCM... Tukaeleweje jamani????
 
lema na wanachadema hawausiki.mkutano ni wa lowassa wa ccm.au umeona ni mpira wa yanga na simba huo

Kwa hiyo Lema na Chadema hawahusiki tena na siasa za Arusha?
 

Kwani Lowasa ni mbunge wa arusha mjini
 
Mahesabu ya Lema na Lowasa Arusha ni Independent.
Hakuna mwenye uwezo wa kumwathiri Mwenzake...
 
ukawa hawana shida ya kushindana na marehemu,mfu kisiasa,akichobaki kufanya ni kumodi magari na wasiojitambua Kama wewe kuja kwenye mikutano yake.
huyu lowasa atakiingiza taifa kwenye machafuko,imagine anatumia pesa nyingi hivi ,siku akikosa urais si ataingia msituni.!!!?
watanzania timuogope huyu MTU Kama ukoma,kiongozi yupo bora anautafuta urais kwa UDI na uvumba,MTU huyu sio sahihi kwetu,we need humble person sio MTU anatumia pesa kuwanunua watu kujaza mikutano yake.
kowasa and co uraisi Tz msahau no way out.
 
Ni Magufuli ama ukawa. Tusisahau watanzania wabunge ni 50 kwa 50 CCM na CDM ili bunge letu liondokane na mipasho na kufanya kazi tunazowatuma.
 
Ni Magufuli ama ukawa. Tusisahau watanzania wabunge ni 50 kwa 50 CCM na CDM ili bunge letu liondokane na mipasho na kufanya kazi tunazowatuma.

Magufuli amejimilikisha Nyumba za serikali kinyume na sheria,Hafai, Watanzania tunamtaka Lowwasa
 

Zuzu la ccm hilo.
 
Kabla hamjaandika mngekuwa mnatuliza wana Arusha kwanza mnalopoka hadi mtamuhalibia huyo mgombea wenu lowasa anagombea uraisi hagombei ubunge na uraisi si Arusha pekee jomba in Tanzania nzima pili spidi ya rema arusha hata afufuke nyerere hawezi zima moto Wa
 

Ushindwe na ulegee!!!
 
Nipo njiani ila nimekutana na makundi ya Magari tofauti zikiwemo costa na mabango team lowasa 2015-2020,naona wameandika na maeneo wanayotoka ili wajulikane pesa walizopewa kwasafari zimefanya kazi.
 
Ni Magufuli ama ukawa. Tusisahau watanzania wabunge ni 50 kwa 50 CCM na CDM ili bunge letu liondokane na mipasho na kufanya kazi tunazowatuma.

magufuli hafai kabisa amekula pesa za wizara ya ujenzi bilion 262 nenda kasome ripoti CAG .
VOTE FOR UKAWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…