Ahaa sasa hata wakikosa mbunge kule kijijini Wazazi wako Baba na Mama wataacha kuvaa kandambili zilizotoboka
Mambo mengine ni vichekesho
Wakipata wabunge wawili wewe ndie utakuwa tajiri kama Barhresa au Mo Dewji
Mkuu kama wewe na ukoo wako ni choka mbaya ni choka mbaya tu
Jaribu kuwasaidia watoto wa ndugu zako kijijini iwe Dada, Binamu au Mjomba
Yaani badala ya kuwaza umaskini wa ukoo wa akina Baptist John wewe unawaza wabunge wa CHADEMA
Kabla ya ubunge wa chadema kwanini wazazi wako hawakuwa matajiri kama Bahresa au Mo Dewji? Miaka ya 1980 au mwanzoni mwa 1990
Wazazi wako walikuwa wapi achana na story za CHADEMA ,
CHADEMA ni taasi imemfanya hata mzazi wako leo apate lami na taa kwa kuwatisha CCM