Uchaguzi 2020 CHADEMA wakipata Wabunge zaidi ya watatu tuwapongeze

Chadema asanteni kwa kuja na kushiriki Tanzania ni ya Watanzania tuu nafikiria kuna kitu mmejifunza.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA

Hao vibaraka watufikishie salamu zetu kwa wazungu wao!
 
tundu lissu wapeleke mchaka mchaka, wapeleke kikamanda mchaka mchaka! 😂
 
..Hii inaonyesha vyama vya upinzani havioni umuhimu wa mawakala ila siwalaumu yawezekana ni kwa sababu za kiuchumi.
Nadhani mwaka huu wamepata funzo sahihi kama la mwaka 2015 halikutosha. Vipigo hivi huanzia kule ndani!
 
Mshikaji ana stress sana!
 
Nnasubiri yule binti aliyekuwa anamchachafya sana mwana FA kwenye kampeini. Kwa sasa akina Sugu, Haule na Msigwa ambao ndio nilikuwa nawategemea sana kushinda wameshatoka KO. ACT inaweza kupata wabunge kadhaa kutoka Pemba!!
 
Tulipungukiwa uwezo wa kuwalipa mawakala
 
Narudia tena, Tanzania hatuna upinzani wa kweli.
 
Kwani Chadema walileta utofauti gani wakisema siyooo. Maana wamekuwa wakisema hivyo, kutoka nje ya bunge, kufunga midomo tangu 1995.
 
Kwani Chadema walileta utofauti gani wakisema siyooo. Maana wamekuwa wakisema hivyo, kutoka nje ya bunge, kufunga midomo tangu 1995.
Dah nakuonea huruma sana jinsi gani ulivyo empty kichwani bt umekaa kama bendera fuata upepo 2, zile kashfa za Richmond,meremeta,esrow nani alikuwa founder mpk Zzk alisimamishwa ubunge? Leo hii Sera ya elimu bure mmeicopy wapi? Hoja za kufufua shirika la ndege zimetoka wapi? Usijifanye ujui umuhimu wa vyama mbadala
 
Nadhani Sasa utakuwa umeelewa alie kichwa tupu kati yako, na hiyo uliemquote.
mkuu mbona unasahau mapema kauli ya jiwe kufuta upinzani 2020 ama kauli ya T.L kwamba jiwe atapewa kura mil. 12 haya yalisha pangwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…