britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Siasa si uadui!
Mdee kuwa bungeni si kosa kisheria ila njia alizotumia zaweza kuwa si sahihi,
Kwakuwa Mamlaka ya Bunge imeonekana kuwatambua basi vema hata CHADEMA ikaachana nao ila Kwa Mashrt haya
1. Kutangazia Umma kwamba alikosea na sasa wanaomba msamaha wala si kushindana na CHADEMA Kwenda kwenye mahakama Au kutunishiana msuli na Chama kilichowalea!
2. Watoe michango Kwa Utaratibu wa CHADEMA , wabunge wanachangia kila mwezi hivo watozwe faini ama ya 150M kila mmoja Ambayo ilipwe Kwa awamu Au Kwa mkupuo
3. Hatma yao ya kugombea mwaka 2025 iwe Siri ya Kamati kuu ya Chama
CHADEMA HII NDO TURUFU YA KUONESHA UKOMAVU
Then sina uhakika Kama Mdee wana Courage Hiyo ya kufoji Kwenda Bungeni, tunajua mengi na hatuyasemi
www.jamiiforums.com
Britanicca

Kuna Sauti inanijia kwamba huenda wabunge 19 wa CHADEMA wana baraka za Mwenyekiti kwa makubaliano maalumu kutotoboa siri
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari. Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika). Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box. Britannica
Britanicca