CHADEMA wakitaka washinde yanayoendelea hawana budi kuwasamehe wabunge 19 Kwa masharti haya

Inaonekana wewe ni miongoni mwao,unaumia ukiwa wapi?Halima na wenzake ni wasaliti na hivyo hawawezi kustahili msamaha bila wao wenyewe kuueleza umma nani aliwapeleka Bungeni,walipewa kitu gani na CCM hadi watende hayo?
Hakika,wao ndio waueleze umma nani aliratibu kwa vitisho wakatishika,iwe simba wa Yuda au Mbowe.
 
Inaonekana wewe ni miongoni mwao,unaumia ukiwa wapi?Halima na wenzake ni wasaliti na hivyo hawawezi kustahili msamaha bila wao wenyewe kuueleza umma nani aliwapeleka Bungeni,walipewa kitu gani na CCM hadi watende hayo?
Saaa
 
NDUNGAI AWATEEEEE
 
Nimekuelewa katika yote uliyozungumza ila katika Moja ndio sijakuelewa. Hilo la KUYAJUA MENGI ILA HAMYAHAMYASEMI
 
Sasa mimi sijakuelewa. Kwani Issue ya Akinamdee mahakama imesemaje? Au kesi itolewe mahakamani wamalizane nje ya mahakama?
 
Inaonekana wewe ni miongoni mwao,unaumia ukiwa wapi?Halima na wenzake ni wasaliti na hivyo hawawezi kustahili msamaha bila wao wenyewe kuueleza umma nani aliwapeleka Bungeni,walipewa kitu gani na CCM hadi watende hayo?
Kivip
 
Huyo Mdee na wenzake hawawezi kusamehewa na Chadema kwa sababu hawajui kosa lao na hawako tayari ku confess ila wako tayari kutunishiana misuli na chama kilichowalea na kuwapa room ya kufanya siasa.Chadema wawasiliane na spika ili atekeleze hukumu halali ya mahakama kama atakataa kwa kiburi cha kudharau Muhimili pacha wa mahakama waachane naye kuna siku miaka mingi ijayo hata makaburi yatakuja pigwa pingu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Nimeshangaa Paskali Mayalla Huyo anayeaandika kwa kusoma upepo, ili ikitokea kama alichosema ajifanye alishasema. Kama angekuwa na uwezo wa kujua mambo hayo, alipaswa kujua kuwa angepata kura 2 alipoenda kwenye kura za maoni za ccm.
Mkuu Tindo , ningepata kura 2, ningejudai sana!. Niliambulia kura moja ya ngama!, tulikuwa wagombea 176, waliopata kura ni wagombea 50. Wagombea 126, walipata kura 0!.
P
 
Bungeni hatuingii kwa hisani tunaingia kwa kura.
 
Hata kama kuna kiongozi alitoa hiyo 'green light' je, hiyo peke yake inatosha kuwafanya wawe Wabunge?
Kuna taratibu za kuzingatiwa na si takwa la mtu au watu. Walikwendaje Bungeni na Form zikabaki Ufipa?

Hakuna mtu anayeweza kupeleka mtu Bungeni, ingalikuwa rahisi hivyo tusingekuwa na sheria.
Hoja ni je hawa ni Wanachama halali wa chama cha siasa?

Hii ndiyo hoja yao , walifukuzwa bila kuzingatia taratibu.
Hoja yao si kwamba walikwenda vipi Bungeni, ni uhalali wao Bungeni kupitia uanachama.

Kuna mwanasheria mmoja anayejitambulisha kama Baba Mwita, ameandika hoja nzuri sana. Mwita anasema Mahakama iliacha wajibu wake wa kutazama katiba ikaingia katika kutafuta mapungufu ya Katiba.
Mahakama ilitakiwa kuhakikisha je Katiba ya Chadema imefuatwa? Kumbuka katiba imeridhiwa na Msajili

Hoja za akina Halima Mdee ni kutosikilizwa na Baraza kuu, hawakupewa muda wa kufika na upuuzi wa namna hiyo.

Jaji anaposema wajumbe wa CC hawakupaswa kuingia Baraza kuu ni kituko, akina Halima hawakuomba tafsiri ya suala hilo. Mahakama yetu inatia shaka sana na sijui hawa Majaji hupatikana kwa utaratibu gani.

Prof angepisha wengine , amefeli

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Amtaje huyo kiongozi mkubwa
Usanii uliofanywa na Magufuli kuanzia uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019 kuwaita viongozi wa CCM Ikulu nakuwapa maelekezo ya kufanya, pia kuwaonya wakurugenzi kuwa mpinzai akishinda Hana kazi, baadaye Magufuli kajisahau kuwa sheria za Mabunge kwenye mfumo wa vyama vingi wapinzani lazima wawemo, ndipo Sasa alalazimika kuwarubuni Hawa 19 wa Chadema, wengine akiwatoa gerezani usiku na kuapishwa! Yaani haya ni maajabu ya Dunia. CCM ni Chama kisichokuwa na aibu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Nguruvi3 , hili la mhimili wa Mahakama kutokutenda haki ni tatizo kubwa that needs to be addressed properly!. Niliwahi kulizungumza humu Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?

Hii hukumu ya suala hili imenisikitisha sana, nimeiandikia kitu, na sasa siishii kwenye kuandika tuu humu, mitandaoni na magazetini, bali sasa kuanzia Jumapili hii, naanza kuzungumza public kupitia Channel Ten Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten. Mahakama Zitoe Haki Hata Bila Kuombwa!.
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=e1S0KY-zlJOC034E
Naamini kuna vitu ambavyo haviendi vizuri na vinaendelea kwenda mrama kwasababu watu hamvizungumzi, naamini kabisa, mkivizungumzia, publically with honesty and integrity, things will change!.

P
 
Sasa yanatimia haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…