Pre GE2025 CHADEMA walia na rafu kuelekea Uchaguzi wa Mwenyekiti. Team Lissu waliwa vichwa ili kumpa ushindi Mbowe

Pre GE2025 CHADEMA walia na rafu kuelekea Uchaguzi wa Mwenyekiti. Team Lissu waliwa vichwa ili kumpa ushindi Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Mambo yanakuwa matamu huko, Hilda ameweka bandiko kupitia account ya X kuwa mpaka CHADEMA yanatokea mambo ya hovyo ambayo kila wakati wanayapinga wakifanya CCM. Katika orodha hii inasemekana team Lissu kabakishwa mmoja tu, je tutegemee matokeo tofauti hapo kesho.

Kama wao kwa wao wanafanyiana haya kuna mwanga wa kuwa na upinzani wa kweli unaokicheki kweli chama tawala?

Pole Hilda ulikuwa hujui kuwa Siasa Ya Tanzania ni Mchaga Original hata vipi kujinusua

600px-Marangu19.jpg

Wikipedia
Tafuta

Wachagga​

kabila la Kenya na Tanzania

Wachagga[1] ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu (lakini pia mchanganyiko wa damu, hasa ya Kikushi) wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro.
Nyumba ya asili huko Marangu.
Wachagga ni kabila la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania.[2] Takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi yao ni watu 2,000,000. Hata hivyo kabila hilo ni kama mchanganyiko wa makabila madogomadogo yenye lugha tofauti, jambo la pekee nchini Tanzania.
Shughuli kubwa ya Wachagga ni biashara, kilimo na kazi za ofisini.

Vikundi vya Wachagga​

Lugha ya Kichagga​

Koo za Kichagga​

Utawala wa jadi wa Wachagga​

Elimu kati ya Wachagga​

Ardhi​

Kilimo na chakula​

Maoni juu ya Wachagga​

Tanbihi​

Marejeo​

Viungo vya nje​

mwisho imehaririwa miezi 5 iliyopita na Riccardo Riccioni

Wikipedia

Hilda anawekwa mjini na Maria ambaye Maria anampinga sana Mbowe ,kwahiyo Hilda na yeye inabidi aende na mdundo wa Maria otherwise atakuwa deported.
 
Assenga mchaga yakhe
Tumpe Pole Hilda alikuwa hajui Kuwa siasa Ya Tanzania ni Mchaga Original itoke iende Wapi!?

View attachment 3207263

Wikipedia
Tafuta

Wachagga​

kabila la Kenya na Tanzania

Wachagga[1] ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu (lakini pia mchanganyiko wa damu, hasa ya Kikushi) wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro.
Nyumba ya asili huko Marangu.
Wachagga ni kabila la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania.[2] Takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi yao ni watu 2,000,000. Hata hivyo kabila hilo ni kama mchanganyiko wa makabila madogomadogo yenye lugha tofauti, jambo la pekee nchini Tanzania.
Shughuli kubwa ya Wachagga ni biashara, kilimo na kazi za ofisini.

Vikundi vya Wachagga/Fitina​

Lugha ya Kichagga/FITINA​

Koo za Kichagga/FITINA​

Utawala wa jadi wa Wachagga/FITINA​

Elimu kati ya Wachagga/FITINA​

Ardhi/FITINA​

Kilimo na chakula/FITINA​

Maoni juu ya Wachagga/FITINA​

Tanbihi/FITINA​

Marejeo/FITINA​

Viungo vya nje/FITINA​

mwisho imehaririwa miezi 5 iliyopita na Riccardo Riccioni

Wikipedia

CCM for life, tunawasubir October, mambo yetu mnayajua vizuri, awamu hii tutatumia mbinu moja tu kati ya elfu moja tulizonazo
 
I said it once and will say it again...

Wakuu,

Mambo yanakuwa matamu huko, Hilda ameweka bandiko kupitia account ya X kuwa mpaka CHADEMA yanatokea mambo ya hovyo ambayo kila wakati wanayapinga wakifanya CCM. Katika orodha hii inasemekana team Lissu kabakishwa mmoja tu, je tutegemee matokeo tofauti hapo kesho.

Kama wao kwa wao wanafanyiana haya kuna mwanga wa kuwa na upinzani wa kweli unaokicheki kweli chama tawala?

Mtake mistake Mbowe mitano tena
 
huyu mrusha matusi Hilda nae ni timu Lissu, lissu amezungukwa na watu wasio na maadili hata kidogo
 
JPM alisingiziwa mabaya mengi sana 😂
Hakuna mtu alikuwa anamsingizia ubaya JPM, alisemwa kwa mabaya yake na alijivunia katika hayo mabaya na akafa katika ubaya wake.

Hawa wote (Samia, Mbowe) wameiga kufanya ubaya kwa ujasiri kwa sababu Magufuli alifanya hayo na hakuna mtanzania alisimama wazi wazi kwa ujasiri wote kumpinga isipokuwa Tundu Lissu.
 
Mkuu kwa Africa labda yesu arud wee play part yako siasa watt wasje kufa maskn
Siasa ya kihuni haikuanza leo, hata Yesu alipokuwa hapa duniani, ni siasa hiyo hiyo ya kihuni ilitumika kumsurubisha. Yesu aliikuta, akaiacha, atarudi tena na kuikuta na kuiacha.

Wahuni wa kisiasa (kama hawa wa Tz wakiongozwa na Mama Abdul na Mbowe) walikaa kikao pale Yerusalem, mtawala akamwaga pesa ndefu mpaka kwa watu wa karibu kabisa na Yesu ili wamsaliti na kumtia nguvuni.
 
Back
Top Bottom