Nani amempa nani rushwa?Jasho na damu Leo kinajengwa Kwa rushwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani amempa nani rushwa?Jasho na damu Leo kinajengwa Kwa rushwa?
Wakati wa JPM chadema ilikuwa inakula ruzuku ndefu sanaKwani lini nyie wakunja ngumi mmewahi kuipigia kura chadema yenu? Miaka yote chadema inapigiwa kura na ccm ambao waneichoka ccm yao... Nyie mnaojiita wanachama makamanda wa CDM miaka yote mna saliti harakat za mbowe, sikuzote mnajificha ktk harakat za kudai mageuzi... Wakati wa mzee jiwe mlimuachia chama mbowe akahangaika nacho ktk hatari zote... 🤣💩🤣💩 leo mmeona Mama Samia ameruhusu nchi iwe na uhuru wa kisiasa na uhuru wa kuongea mnataka nafasi kubwa ndani ya chadema kirahisi tu...
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, ni ×100 mbowe afie uzeeni ktk hiko cheo kuliko kumuachia Lisu na waganga njaa wenzake... Ni mara mia mbowe chama kimfie mikononi mwake ila sio kumuachia lisu mropokaji asiyejitambua na asiye na msimamo wala hekima...
Kama mnataka cheo na kumilik chama tokeni chadema nenden kaanzisheni chama chenu, mbona zitto alitoka akaenda kuanzisha chake... You guys jasho na harakat za mtu haliendi bure na halipokonywi kirahisi hivyo... 🤣😅 kama ambavyo ccm tulitaka jiwe awe rais wa kudumu basi ndivyo mbowe atakuwa m'kiti wa kudumu, mtatoka nyie mbowe atabaki... Msidhani kila wakat kuropoka kutukana na kujiita kamanda ndio kutakufanya uonekane mjanja...
PALE CHADEMA MBOWE PEKEYAKE NDIYE MWENYE AKILI wengine ni nyumbu tu kama nyumbu wengine 🤣😅
Uchaguzi ni vita vya maslahi baina ya makundi ,mwenye Nguvu ndio atashinda Sasa unamlalamikia nani? Kakate rufaa hukoWakuu,
Mambo yanakuwa matamu huko, Hilda ameweka bandiko kupitia account ya X kuwa mpaka CHADEMA yanatokea mambo ya hovyo ambayo kila wakati wanayapinga wakifanya CCM. Katika orodha hii inasemekana team Lissu kabakishwa mmoja tu, je tutegemee matokeo tofauti hapo kesho.
Kama wao kwa wao wanafanyiana haya kuna mwanga wa kuwa na upinzani wa kweli unaokicheki kweli chama tawala?
Wewe miaka Yako yote ulikuwa unasaka nini?Mwanzoni nilimlauku Lissu lakini sasa hivi namshukuru sana. Yaani tumekuwa tunauziwa mbuzi kwenye gunia miaka yote hii....watanzania ni walewale, ccm kama chadema na chadema kama ccm. Labda kizazi hiki kifutike. Tusake tonge bandugu
Basi kura uchaguzi mkuu mbowe na wahuni wake watajua pa kuzipata...yangu imeenda!.Niliwaambia team Antipas mropokaji maji yatazid unga mtarudi mitandaoni kumtukana mbowe na kulia...
Manyumbu nyie
Miaka yote nasaka tonge ila pia niliwapa airtime kubwa chadema. Sasa siasa basi, najikita kwenye tonge tuWewe miaka Yako yote ulikuwa unasaka nini?
WamekukomeshaMiaka yote nasaka tonge ila pia niliwapa airtime kubwa chadema. Sasa siasa basi, najikita kwenye tonge tu