Siyo Mbowe ni kamati kuu ya CDM, waulize wajumbe usituchoshe.Nimeshangaa sana Mbowe kawaje, sasa unamuacha Rose Mayemba alafu unweka random women tu ambao hata kwenye struggle za chama hatujawahi kuwaona.
Mfano unamkata Twaha Mwaipaya alafu unamuweka Assenga? Hivi Mbowe nani atakayempigia kampeni za urais 2025 kama ndio watu anaojaza ni liabilities.
Bora angekua anaweka watu wenye uwezo zaidi kuliko kujaza liabilities ili tu kukomoa upande wa Lissu.
Yaleyale ya kumteua Mashinji ili kumkomoa Mnyika kisa alimpinga Lowassa!!