Pre GE2025 CHADEMA walia na rafu kuelekea Uchaguzi wa Mwenyekiti. Team Lissu waliwa vichwa ili kumpa ushindi Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimeshangaa sana Mbowe kawaje, sasa unamuacha Rose Mayemba alafu unweka random women tu ambao hata kwenye struggle za chama hatujawahi kuwaona.

Mfano unamkata Twaha Mwaipaya alafu unamuweka Assenga? Hivi Mbowe nani atakayempigia kampeni za urais 2025 kama ndio watu anaojaza ni liabilities.

Bora angekua anaweka watu wenye uwezo zaidi kuliko kujaza liabilities ili tu kukomoa upande wa Lissu.

Yaleyale ya kumteua Mashinji ili kumkomoa Mnyika kisa alimpinga Lowassa!!
Siyo Mbowe ni kamati kuu ya CDM, waulize wajumbe usituchoshe.
 
Mbali na siasa Mnyika ana shughuli gani?

Au na yeye ni miongoni mwa wanaolishwa na Mbowe kwa kupitia ruzuku?
Sidhani kama ana career nje ya siasa, ni seasonal political na ukiweka hakumaliza degree sidhani kama ana opportunities nyingi huko nje apart from kurudi kwenye NGOs alizokua ameanzisha 2000-2004. Anaona akimkwaza Mbowe atapoteza ukatibu hivyo kupotea kisiasa. Ila cha ajabu siku moja huko mbeleni naye atakuja kumvaa Mbowe na kueleza haya haya tunayosema sasa.

Siasa za Tanzania ni ajabu sana
 
Wakuu,

Mambo yanakuwa matamu huko, Hilda ameweka bandiko kupitia account ya X kuwa mpaka CHADEMA yanatokea mambo ya hovyo ambayo kila wakati wanayapinga wakifanya CCM. Katika orodha hii inasemekana team Lissu kabakishwa mmoja tu, je tutegemee matokeo tofauti hapo kesho.

Kama wao kwa wao wanafanyiana haya kuna mwanga wa kuwa na upinzani wa kweli unaokicheki kweli chama tawala?

ni muhimu sana wasio na sifa, vigezo vya kisheria na wasiostahili wakaenguliwa ili kutoa fursa na nafasi kwa waadilifu kupata nafasi hizo.

well done kamati kuu 🐒
 
Wakuu,

Mambo yanakuwa matamu huko, Hilda ameweka bandiko kupitia account ya X kuwa mpaka CHADEMA yanatokea mambo ya hovyo ambayo kila wakati wanayapinga wakifanya CCM. Katika orodha hii inasemekana team Lissu kabakishwa mmoja tu, je tutegemee matokeo tofauti hapo kesho.

Kama wao kwa wao wanafanyiana haya kuna mwanga wa kuwa na upinzani wa kweli unaokicheki kweli chama tawala?

ni muhimu sana chama kupitia kamati kuu kuzingatia sifa na vigezo vya kikatiba kwa mgombea uongozi na sio team kibaraka au team mbowe.

Porojo na mayowe ya mitandaoni yapuuzwe 🐒
 
Sidhani kama ana career nje ya siasa, ni seasonal political na ukiweka hakumaliza degree sidhani kama ana opportunities nyingi huko nje apart from kurudi kwenye NGOs alizokua ameanzisha 2000-2004. Anaona akimkwaza Mbowe atapoteza ukatibu hivyo kupotea kisiasa. Ila cha ajabu siku moja huko mbeleni naye atakuja kumvaa Mbowe na kueleza haya haya tunayosema sasa.

Siasa za Tanzania ni ajabu sana
Kwa namna hiyo Mnyika hawezi kusimamia haki ya namna yoyote hapo! Kikubwa atakachokifanya atalinda ugali wake.
 
Wakuu,

Mambo yanakuwa matamu huko, Hilda ameweka bandiko kupitia account ya X kuwa mpaka CHADEMA yanatokea mambo ya hovyo ambayo kila wakati wanayapinga wakifanya CCM. Katika orodha hii inasemekana team Lissu kabakishwa mmoja tu, je tutegemee matokeo tofauti hapo kesho.

Kama wao kwa wao wanafanyiana haya kuna mwanga wa kuwa na upinzani wa kweli unaokicheki kweli chama tawala?

Mwanzoni nilimlauku Lissu lakini sasa hivi namshukuru sana. Yaani tumekuwa tunauziwa mbuzi kwenye gunia miaka yote hii....watanzania ni walewale, ccm kama chadema na chadema kama ccm. Labda kizazi hiki kifutike. Tusake tonge bandugu
 
Assenga mchaga yakhe
Nimeshangaa sana Mbowe kawaje, sasa unamuacha Rose Mayemba alafu unweka random women tu ambao hata kwenye struggle za chama hatujawahi kuwaona.

Mfano unamkata Twaha Mwaipaya alafu unamuweka Assenga? Hivi Mbowe nani atakayempigia kampeni za urais 2025 kama ndio watu anaojaza ni liabilities.

Bora angekua anaweka watu wenye uwezo zaidi kuliko kujaza liabilities ili tu kukomoa upande wa Lissu.

Yaleyale ya kumteua Mashinji ili kumkomoa Mnyika kisa alimpinga Lowassa!!
 
Kwani lini nyie wakunja ngumi mmewahi kuipigia kura chadema yenu? Miaka yote chadema inapigiwa kura na ccm ambao waneichoka ccm yao... Nyie mnaojiita wanachama makamanda wa CDM miaka yote mna saliti harakat za mbowe, sikuzote mnajificha ktk harakat za kudai mageuzi... Wakati wa mzee jiwe mlimuachia chama mbowe akahangaika nacho ktk hatari zote... 🤣💩🤣💩 leo mmeona Mama Samia ameruhusu nchi iwe na uhuru wa kisiasa na uhuru wa kuongea mnataka nafasi kubwa ndani ya chadema kirahisi tu...
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, ni ×100 mbowe afie uzeeni ktk hiko cheo kuliko kumuachia Lisu na waganga njaa wenzake... Ni mara mia mbowe chama kimfie mikononi mwake ila sio kumuachia lisu mropokaji asiyejitambua na asiye na msimamo wala hekima...
Kama mnataka cheo na kumilik chama tokeni chadema nenden kaanzisheni chama chenu, mbona zitto alitoka akaenda kuanzisha chake... You guys jasho na harakat za mtu haliendi bure na halipokonywi kirahisi hivyo... 🤣😅 kama ambavyo ccm tulitaka jiwe awe rais wa kudumu basi ndivyo mbowe atakuwa m'kiti wa kudumu, mtatoka nyie mbowe atabaki... Msidhani kila wakat kuropoka kutukana na kujiita kamanda ndio kutakufanya uonekane mjanja...
PALE CHADEMA MBOWE PEKEYAKE NDIYE MWENYE AKILI wengine ni nyumbu tu kama nyumbu wengine 🤣😅
 
Back
Top Bottom