Pre GE2025 CHADEMA walia na rafu kuelekea Uchaguzi wa Mwenyekiti. Team Lissu waliwa vichwa ili kumpa ushindi Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakati wa JPM chadema ilikuwa inakula ruzuku ndefu sana
 
Uchaguzi ni vita vya maslahi baina ya makundi ,mwenye Nguvu ndio atashinda Sasa unamlalamikia nani? Kakate rufaa huko
 
Mwanzoni nilimlauku Lissu lakini sasa hivi namshukuru sana. Yaani tumekuwa tunauziwa mbuzi kwenye gunia miaka yote hii....watanzania ni walewale, ccm kama chadema na chadema kama ccm. Labda kizazi hiki kifutike. Tusake tonge bandugu
Wewe miaka Yako yote ulikuwa unasaka nini?
 
Niliwaambia team Antipas mropokaji maji yatazid unga mtarudi mitandaoni kumtukana mbowe na kulia...
Manyumbu nyie
Basi kura uchaguzi mkuu mbowe na wahuni wake watajua pa kuzipata...yangu imeenda!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…