Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umeshahirimu.kozi ya psychology anzisha darasa sasa. Manake ww na meko mmwbakia kulazwa tuu kwa preshsWatamuelewa tu Lowasa na Slaa .Tundu Lisu keshaanza kupata meseji
Godbless Lema na Salum Mwalimu na Lisu nyuso zao zilikuwa unhappy Ni kitu hawakuelewana walikuwa so frustrated by reading their body language
.Wasalaam wakuu,
Sote tumeshuhudia uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, uliofanyika katika viwanja vya Mbagala.
Kwa uzinduzi huo uliofanyika leo na muitikio wa wananchi(wapiga kura), Je CHADEMA walijiandaa na uchaguzi wa mwaka huu?
View attachment 1550840
Duh!Nini kimetokea uzinduzi wa Kampeni za Chadema safari hii? Lile nyomi tulilolizoea la kipindi cha Lowassa liko wapi? Je, hii inaashiria nini kwenye Uchaguzi huu? Wananchi wameamua kutuma msg gani kwa Chadema? Kuna uwezekano kweli wa Chadema kupata hata Jimbo moja Dar es Salaam? Hebu tutafakari. Mimi binafsi mpenda Demokrasia nimeshtuka sana.View attachment 1550913
Nini kimetokea uzinduzi wa Kampeni za Chadema safari hii? Lile nyomi tulilolizoea la kipindi cha Lowassa liko wapi? Je, hii inaashiria nini kwenye Uchaguzi huu? Wananchi wameamua kutuma msg gani kwa Chadema? Kuna uwezekano kweli wa Chadema kupata hata Jimbo moja Dar es Salaam? Hebu tutafakari. Mimi binafsi mpenda Demokrasia nimeshtuka sana.View attachment 1550913
Hiyo ndiyo kazi TBC1 ilikwenda kuifanya!Nini kimetokea uzinduzi wa Kampeni za Chadema safari hii? Lile nyomi tulilolizoea la kipindi cha Lowassa liko wapi? Je, hii inaashiria nini kwenye Uchaguzi huu? Wananchi wameamua kutuma msg gani kwa Chadema? Kuna uwezekano kweli wa Chadema kupata hata Jimbo moja Dar es Salaam? Hebu tutafakari. Mimi binafsi mpenda Demokrasia nimeshtuka sana.View attachment 1550913
Kasajiri ya kwako uje utuletee picha unazoziamini wewe.Na ndio sababu ya kukataza drones. Ili warushe zao.. kisingizio zao zimesajiliwa.
Itoshe kusema kua chadema Inatosha hamuwezi kushindana na ccm mwaka huu
Leo chadema mtakua mmeona msimamo wa Watanzania juu yenu ningependa kuwashauri tu hela ambazo mnataka kuzituma kwenye kampen ni bora mkazitumia kwenye mambo mengine kabla hajaingia hasara ya bila sababu
Kusema kwel Leo Tundulisu atakua amelala na jibu la jinsi matokeo ya uchaguz yatakavyo kua
Kwa ukubwa wa chama kama chadema iliopo Mitandao na ukubwa wa eneo ambalo wameenda kuzindulia kampen na watu walio jitokeza hata Umoja wa mataifa Leo utakubaliana na watanzania wengi kua Magufuli anaenda kuongoza miaka mitano Tena
Pia ningependa kuuliza wale ndugu zangu wa umu vip Yale mafuriko ya Dar mlio kua mnayaongelea au siku bado
Kusema kwel hata mchezaji wa yanga kakusanya watu kushinda hata Tundulisu ivi mh Tundulisu ni mgombea Udiwan au Ubunge????
Yani nyomi la Morison linaishinda nyomi la Leo la Tundulisu
Chadema polen Sana kampeni za mwaka huu huenda zikawamaliza vibaya

Kujua au kutokujua unaweza kuwa mpuuzi wewe kwa watawala wa nchi hii.Hahaha Hivi Unaamini Nchi hii kuna Upinzani kweli
Bado sana
Hao wanajifurahisha na kucheza na Akili za Wapuuzi tu
Narudia Lisu kupata 20% Atakuwa kashinda
Imekukera eehKujua au kutokujua unaweza kuwa mpuuzi wewe kwa watawala wa nchi hii.
Naona mazombie ya lumumba mnabadilishana mawazo....kwenye mambo yasiyowahusu na hampendi iwe hvyoHahahaha hawawez Kuja kujibu sababu ni aibu kubwa Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]walio Pata Leo yani wananch ni Zaid ya wajumbe
Siku ya kazi hiyoImekukera eeh
Nabado Upinzani Uchwara bado sana