Uchaguzi 2020 CHADEMA walijiandaa na uchaguzi wa mwaka huu 2020?

Acheni upotishaji hivi mnapata faida gani?

Picha za saa 7 mchana ndio tbc wamezipandisha kwann wasiweke za umat i wakati wanatimuliwa?
 
Watamuelewa tu Lowasa na Slaa .Tundu Lisu keshaanza kupata meseji

Godbless Lema na Salum Mwalimu na Lisu nyuso zao zilikuwa unhappy Ni kitu hawakuelewana walikuwa so frustrated by reading their body language
Naona umeshahirimu.kozi ya psychology anzisha darasa sasa. Manake ww na meko mmwbakia kulazwa tuu kwa preshs
 
Wasalaam wakuu,
Sote tumeshuhudia uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, uliofanyika katika viwanja vya Mbagala.

Kwa uzinduzi huo uliofanyika leo na muitikio wa wananchi(wapiga kura), Je CHADEMA walijiandaa na uchaguzi wa mwaka huu?

View attachment 1550840
.
IMG_20200828_184045.jpg
IMG_20200828_183556.jpg
 
D
Nini kimetokea uzinduzi wa Kampeni za Chadema safari hii? Lile nyomi tulilolizoea la kipindi cha Lowassa liko wapi? Je, hii inaashiria nini kwenye Uchaguzi huu? Wananchi wameamua kutuma msg gani kwa Chadema? Kuna uwezekano kweli wa Chadema kupata hata Jimbo moja Dar es Salaam? Hebu tutafakari. Mimi binafsi mpenda Demokrasia nimeshtuka sana.View attachment 1550913
Duh!
Dar nzima imesimama.
 
Hii picha imechukuliwa wakati ndio kwanza watu wanaingia. TBC haikwenda hapo kuwasaidia CHADEMA. Hilo lazima ulijue.
Nini kimetokea uzinduzi wa Kampeni za Chadema safari hii? Lile nyomi tulilolizoea la kipindi cha Lowassa liko wapi? Je, hii inaashiria nini kwenye Uchaguzi huu? Wananchi wameamua kutuma msg gani kwa Chadema? Kuna uwezekano kweli wa Chadema kupata hata Jimbo moja Dar es Salaam? Hebu tutafakari. Mimi binafsi mpenda Demokrasia nimeshtuka sana.View attachment 1550913
 
Tibisi online😁😁😁
Akili yako haina tofauti nao.
Wanasema wanarusha live, kumbe wameandaa kijiwe cha kupiga soga za kijinga bora wametimuliwa!
 
Nini kimetokea uzinduzi wa Kampeni za Chadema safari hii? Lile nyomi tulilolizoea la kipindi cha Lowassa liko wapi? Je, hii inaashiria nini kwenye Uchaguzi huu? Wananchi wameamua kutuma msg gani kwa Chadema? Kuna uwezekano kweli wa Chadema kupata hata Jimbo moja Dar es Salaam? Hebu tutafakari. Mimi binafsi mpenda Demokrasia nimeshtuka sana.View attachment 1550913
Hiyo ndiyo kazi TBC1 ilikwenda kuifanya!
 
Itoshe kusema kua chadema Inatosha hamuwezi kushindana na ccm mwaka huu

Leo chadema mtakua mmeona msimamo wa Watanzania juu yenu ningependa kuwashauri tu hela ambazo mnataka kuzituma kwenye kampen ni bora mkazitumia kwenye mambo mengine kabla hajaingia hasara ya bila sababu

Kusema kwel Leo Tundulisu atakua amelala na jibu la jinsi matokeo ya uchaguz yatakavyo kua

Kwa ukubwa wa chama kama chadema iliopo Mitandao na ukubwa wa eneo ambalo wameenda kuzindulia kampen na watu walio jitokeza hata Umoja wa mataifa Leo utakubaliana na watanzania wengi kua Magufuli anaenda kuongoza miaka mitano Tena

Pia ningependa kuuliza wale ndugu zangu wa umu vip Yale mafuriko ya Dar mlio kua mnayaongelea au siku bado

Kusema kwel hata mchezaji wa yanga kakusanya watu kushinda hata Tundulisu ivi mh Tundulisu ni mgombea Udiwan au Ubunge????

Yani nyomi la Morison linaishinda nyomi la Leo la Tundulisu

Chadema polen Sana kampeni za mwaka huu huenda zikawamaliza vibaya

Dah ndiomana wamewafukuza Tbc mana Leo ilikua Aibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1550966
 
Kweli husuda ni kama Mmakonde - ukisimama, nchale; ukikaa, nchale; ukikimbia, nchale... Vyoyote ni nchale tu. Siku zenye waudhuriaji wengi, mnasema ni wahuni ambao hawapigi kura. Leo unalinganisha mahudhurio na kura! Binadamu...

Itoshe kusema kua chadema Inatosha hamuwezi kushindana na ccm mwaka huu

Leo chadema mtakua mmeona msimamo wa Watanzania juu yenu ningependa kuwashauri tu hela ambazo mnataka kuzituma kwenye kampen ni bora mkazitumia kwenye mambo mengine kabla hajaingia hasara ya bila sababu

Kusema kwel Leo Tundulisu atakua amelala na jibu la jinsi matokeo ya uchaguz yatakavyo kua

Kwa ukubwa wa chama kama chadema iliopo Mitandao na ukubwa wa eneo ambalo wameenda kuzindulia kampen na watu walio jitokeza hata Umoja wa mataifa Leo utakubaliana na watanzania wengi kua Magufuli anaenda kuongoza miaka mitano Tena

Pia ningependa kuuliza wale ndugu zangu wa umu vip Yale mafuriko ya Dar mlio kua mnayaongelea au siku bado

Kusema kwel hata mchezaji wa yanga kakusanya watu kushinda hata Tundulisu ivi mh Tundulisu ni mgombea Udiwan au Ubunge????

Yani nyomi la Morison linaishinda nyomi la Leo la Tundulisu

Chadema polen Sana kampeni za mwaka huu huenda zikawamaliza vibaya
 
Itoshe kusema kua chadema Inatosha hamuwezi kushindana na ccm mwaka huu

Leo chadema mtakua mmeona msimamo wa Watanzania juu yenu ningependa kuwashauri tu hela ambazo mnataka kuzituma kwenye kampen ni bora mkazitumia kwenye mambo mengine kabla hajaingia hasara ya bila sababu

Kusema kwel Leo Tundulisu atakua amelala na jibu la jinsi matokeo ya uchaguz yatakavyo kua

Kwa ukubwa wa chama kama chadema iliopo Mitandao na ukubwa wa eneo ambalo wameenda kuzindulia kampen na watu walio jitokeza hata Umoja wa mataifa Leo utakubaliana na watanzania wengi kua Magufuli anaenda kuongoza miaka mitano Tena

Pia ningependa kuuliza wale ndugu zangu wa umu vip Yale mafuriko ya Dar mlio kua mnayaongelea au siku bado

Kusema kwel hata mchezaji wa yanga kakusanya watu kushinda hata Tundulisu ivi mh Tundulisu ni mgombea Udiwan au Ubunge????

Yani nyomi la Morison linaishinda nyomi la Leo la Tundulisu

Chadema polen Sana kampeni za mwaka huu huenda zikawamaliza vibaya

Watasema unalipwa buku 7.
 
Hahaha Hivi Unaamini Nchi hii kuna Upinzani kweli
Bado sana
Hao wanajifurahisha na kucheza na Akili za Wapuuzi tu
Narudia Lisu kupata 20% Atakuwa kashinda
Kujua au kutokujua unaweza kuwa mpuuzi wewe kwa watawala wa nchi hii.
 
Hiyo picha mmepiga haraka haraka kabla watu hawajafika mkutanoni mje kujidanganya hapa.

Mkitaka kujua mlivyo wajinga tazama nyuma ya hiyo picha watu wanaonekana ndio wanafika kwenye mkutano, kwanini msipige picha wakati Chadema wameanza kuhutubia? mnajua mtaumbuka na ujinga wenu, acheni utoto.

Chadema ni level nyingine ndio maana mnahangaika kuwaengua wagombea wake kwa sababu za kijinga.
 
Hahahaha hawawez Kuja kujibu sababu ni aibu kubwa Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]walio Pata Leo yani wananch ni Zaid ya wajumbe
Naona mazombie ya lumumba mnabadilishana mawazo....kwenye mambo yasiyowahusu na hampendi iwe hvyo
 
Back
Top Bottom