CHADEMA walikosea kukubali kuichoma nchi wanayotaka kuiongoza

Wewe chawa unatupotezea muda. Waandamanaji Bangladeshi waliingia hadi Ikulu wakabeba kila kilichobebeka. Hakuna maandamano yasiyokuwa na hizo ghasia
Mbona mnapenda kuifananisha Tz nchi iliyoko Afrika na Marekani, Canada, UK, Oman, Bangaladesh,....? Linganisha tz na nchi za Afrika tena chini ya Jangwa la Sahara. Mnaonesha wazi kuwa tz iko mbele sana Afrika. INA ligi bora Afrika, ina reli ya umeme, ina amani na utulivu, umeme kila kitongoji, hospitali kila kijiji, shule kila kitongoji, sekondari kila Kata, maji yanaenda kila kona, barabara bwerere. Ukiichoma nchi yetu tutakula sahani moja na wewe. Hutana mchezo kwenye hili, tutakutosa majini uliwe na papa badala ya kutuzamisha wote.
 
Cc

Cc
Common wealth
Common is too common. Uingereza haina issue sasa hivi, dhofle hali, itamtishia nani? Kama huamini subiri uone. Hizo nchi ndio wawekezaji wakuu hapa kwetu, wanafurahia amani na utulivu kwenye nchi yetu, wanalala usingizi mitaji yao iko salama hapa kuliko nchi nyingine. RAIS Clinton aliita Tanzania the Geveva of Afrika, unadhani hakuwa na akili?

Jidanganyeni na commowealth!! Nchi za ulaya sasa hivi ni chui wa makaratasi, ziko kwenye survival mode, hazina msaada wa kutupa sisi, wenyewe wanatafuta msaada China na Uarabuni sasa hivi. Soma alama za nyakati
 
CCM walikosea kumteka na kumpoteza Humphrey Polepole
CCM walikuwa hawajui Polepole yuko wapi. Hata hivyo kutoa siri za jando ni kosa kubwa katika mila zetu. Wazazi wa Polepole ni wazembe, hawakufanya kazi yao. Mtoto kwa mama hakui. Hata mzazi wa Heche ana kauzembe fulani ambako anaweza kuja kukajutia. Nchi hii ni kubwa na muhimu sana sana kuliko mimi na wewe.
 
Unachanganya mambo.

Chadema hawakuanzisha/kuhamasisha maandamano.
Maandamano yalichochewa na Wanaharakat wa mitandaoni.
Miez karibia 7 kabla ya uchaguzi kufanyika.

Slogan ya No reform No election iko based na Chadema. Kuwa hawatashiriki uchaguzi kama hakuna mabadiliko ya sheria za Uchaguzi.
Na ndio Maana hawakushiriki uchaguzi serikal Mitaa 2024. Na pia kwenye kusaini form za Sheria na kanuni za Uchaguzi 2025 hawakuenda.

Kumbuka Lissu punde tu alivyochaguliwa kuwa mwenyekiti , alisema kama kuna mwanaChadema anataman kugombea na wakat bado reform hazijafanyika, basi asahau. Kwasababu hawawez shiriki uchaguzi . Na ndio Weng wakakimbilia Chaumma.


Hakusema WanaChadema waingie barabaran. Ila alisisitiza WanaChadema kutowenda kupiga kura.
Kwahiyo kama kosa ni kushawishi watu wasiende kupiga kura. Bas ahukumiwe kwa hilo.

Waandamanaji kwa upande wengine ni vijana,
Baada ya hali kutulia, nilikaa na vijana waliotoka kufanya fujo.
na nikawauliza kwanini wakitoka?..

Wakasema Maisha ni magumu, serikal haitengenez/kuwezesha fursa za ajira, kwahiyo tulitaka kuinyesha kuwa hatuko pamoja na vitu wanavyofanya.

Vijana walioandamana hawajagusia kuwa ni Lissu ndio amewaagiza au kuwahamasisha. Wana sababu zao zingine kabisa.
 
Rubbish 🚮
 
Kwahiyo hadi sasa CCM hawajui alipo Polepole?
 
Hivi hayo maandamano yaliitishwa na Chadema? Mbona kama unajitoa ufahamu, kwa hiyo unataka kusema yule aliyewaua anaotaka kuwaongoza yuko sahihi?
Huyo kilaza yupo kama amekatwa kichwa kimebakia kiwiliwili tu.
 
Rubbish
 
Utetezi wa kitoto. Chadema wamesema no reforms no erection na Lissu alisema wataasi na watakinusha vibaya sana na alijuwa wataumizwa lakini hawatarudi nyuma alimaanisha nini?
 
Kwahiyo hadi sasa CCM hawajui alipo Polepole?
Hawajui kaabisa, wanashangaa kumsikia ndugu wakisema alikuwa hapa alikuwa humu. Kama wangeisaidia polisi kumtafuta na kumsalimisha huenda tungekuwa nae hapa nchini. Familia wamehusika
 
Endeleeni kuamini hivyo hivyo kwamba CDM pekee ndo wanaotaka mabadiliko
Kwa watu wenye akili tunajua issue sio mabadiliko, kuna issuevnyingine kabisa. Chadema inatumiwa tu na watu wenye mashati ya kijani wenye ajenda nyingine kabisaa. Hata hapo CCM itavuka kama ilivyovuka kwa G55 ya Nyelu Kasaka.
 
Hili gazeti ni ushahidi kuwa cdm ni chama chenye nguvu sana. Chama hukikushiriki uchaguzi na kilizuiwa kufanya siasa, lakini ndio kinazungunzwa zaidi. Vipi vile vyama 17 mnavyosema vilishiriki uchaguzi, mbona haviongelewi? Ni hivi, hakuna kitu kigumu kama kuzuia mabadiliko, ni lazima patawaka moto, na cdm ndio chama kitakachokitoa hicho chama cha majizi na wauaji. Mtake mistake.
 
Kwa watu wenye akili tunajua issue sio mabadiliko, kuna issuevnyingine kabisa. Chadema inatumiwa tu na watu wenye mashati ya kijani wenye ajenda nyingine kabisaa. Hata hapo CCM itavuka kama ilivyovuka kwa G55 ya Nyelu Kasaka.
Mabadiliko yamefika bado umebaki unaweza kizee, jiandae utaishije ccm ikitoka madarakani, vinginevyo jiandae kuolewa na wanaume wenzio.
 
Mbona unakuwa kama
Mbona unakuwa kama vile haupigwi miti mkuu!?
 
Kumbe we mbwa nawe ni wa kuku ignore
 
Kinazungumzwa kwasababu 2 kuu. Kwanza kilichoma mali ya umma na binafsi, pili kimetumika kumpora Mbowe, KKKT chama chake na kukitumia vibaya kupin serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…