Nchi zipi Afrika watu wake wanasafiri 24/7 bila hofu? CCM safiiimilio mingi kutoka kwa wakoloni
Unahitaji kuwa na ujinga huu ili kuitetea CCM. Wewe hujui watoto shule za mjini wanakaa chini, hujui kuwa Mwanza mjini ilipo lake Victoria, kuna kaya nyingi hazina maji, hujui kuwa hospitali nyingi matibabu ni changamoto. ? Kinachoshangaza huu uongo mnamuambia nani, maana watanzania wanatambua hali halisi.Mbona mnapenda kuifananisha Tz nchi iliyoko Afrika na Marekani, Canada, UK, Oman, Bangaladesh,....? Linganisha tz na nchi za Afrika tena chini ya Jangwa la Sahara. Mnaonesha wazi kuwa tz iko mbele sana Afrika. INA ligi bora Afrika, ina reli ya umeme, ina amani na utulivu, umeme kila kitongoji, hospitali kila kijiji, shule kila kitongoji, sekondari kila Kata, maji yanaenda kila kona, barabara bwerere. Ukiichoma nchi yetu tutakula sahani moja na wewe. Hutana mchezo kwenye hili, tutakutosa majini uliwe na papa badala ya kutuzamisha wote.
Reli hii ambayo TABOA wanaihujumu isisimame na Govt haina cha kufanya? Hivi Makutupora to Tabora imeanza kazi?Nchi zipi Afrika watu wake wanasafiri 24/7 bila hofu? CCM safiii
Nchi zipi afrika zimesambaza umeme vijiji vyote?
Ni nchi zipi afrika zina reli ya umeme?
Nchi zipi zinagawa pembejeo kwa wakulima wake?
Umeenda nchi gani afrika ukakuta usafiri wa haraka?
Nendeni mkanye mlale
Sorry, Lissu, Mbowe walikuwa gerezani, chama kilikuwa kimezuiwa kufanya shughuli zake, kiliwezaje fanya hayo?Kinazungumzwa kwasababu 2 kuu. Kwanza kilichoma mali ya umma na binafsi, pili kimetumika kumpora Mbowe, KKKT chama chake na kukitumia vibaya kupin serikali.
Kwahiyo huko CCM wewe pia ni mwenye akili mmoja wapo!!? Basi kumeoza!!Kwa watu wenye akili tunajua issue sio mabadiliko, kuna issuevnyingine kabisa. Chadema inatumiwa tu na watu wenye mashati ya kijani wenye ajenda nyingine kabisaa. Hata hapo CCM itavuka kama ilivyovuka kwa G55 ya Nyelu Kasaka.
Mkuu unakumbuka kabla ya 29/10/2025. CDM walikuwawamefungiwa kujishulisha na mambo ya siasa kwa muda mrefu yaani miezi kadhaa nyuma.Hakuna chama kipya kinakuja madarakani pamoja na ofisi zake za serikali, majeshi, polisi, mahakama, barabara, hospitali, mahakama na majaji wake wapya. Watatumia miundombinu hiihii na rasilimali watu iliyopo, maana miundombinu hii sio mali ya chama kilichoko madarakani wala Rais, ni mali ya watanzania hata wale ambao hawajazaliwa. Kuichoma moto na kuiharibu sio sawa na kosa kubwa sana.
Hakuna mahali popote nimesikia chama cha chadema kimekerwa na kuharibiwa kwa mali/kodi za watanzania katika vurugu za Octoba 29, 2025 na siku zilizofuata siku hiyo. Hii ni kuonyesha kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya wachomaji na chadema, la sivyo, walifurahishwa na uchomaji ule.
Hayati Reginald Mengi (RIP) alikuwa miongozi mwa watu wa kwanza nchini kumiliki vyombo vya habari. Kila wakati unapokaribia uchaguzi mkuu alikuwa akitumia vyombo vyake vya habari kutuonyesha watanzania ubaya wa kuvunjika kwa amani kunakoweza kuletwa na vurugu za uchaguzi na vyama vya upinzani. Nadhani alikuwa mwanaCCM lakini alifanyahivyo kwa kusukumwa na umuhimu wa amani na utulivu katika uwekezaji wake nchini. Kwenye vurugu mitaji inapotea.
Mzee Mengi alikuwa anatuonyesha vita na mauaji ya Rwanda, Burundi na Somalia kwenye kituo chake cha TV. Wapinzani walimlaumu sana kuwa anawatisha watanzania wasivichague vyama vya upinzani. Leo Mengi hayupo lakini nchi ilichomwa moto na watanzania wenzetu wamepoteza maisha wakati wa uchaguzi sawasawa na hofu na tahadhali yake.
Kuchoma au kuunga mkono kuchoma nchi/malalo yetu ni kosa la kiufundi ambalo chadema walilifanya katika harakati zao za kisiasa. Wamekirudisha chama kilometa nyingi sana nyuma. Leo hii chadema kinaogopwa na wananchi kama chama kisichowatakia mema wananchi na taifa. Mwananchi ambae amepoteza mtoto wake kwenye vurugu zile anawalaumu chadema, waliokosa matibabu wakati wa vurugu wanailaumu chadema, waliokosa usafiri wa mwendokasi kwakuwa umechomwa moto wanailaumu chadema, waliokosa ajira kwakuwa sheli na malori waliyokuwa wameajiliwa yamechomwa moto wanailaumu chadema; watoto waliokosa masomo kwa kule kufungwa kutokana na vurugu wanailamu chadema; walioshindwa kutoka nje kujitafutia riziki kwasababu ya vurugu wanailamu chadema, waliofilisika kwasababu maduka yao yaliporwa kwenye vurugu wanailaumu chadema na viongozi wao akina heche; wanaokosa huduma kwenye ofisi za serikali za mitaa na kata zilizochomwa wanailaumu chadema; chadema, chadema, chadema.
Matokeo yake ni nini, leo hii ni rahisi sana kuyazuia maandamano ya chedema kuliko wakati mwingine wowote. Wakiitisha maandamano wananchi wooote wenye akili timamu wanabaki majumbani mwao na biashara zote zinafungwa kupisha maandamano ya chadema. Barabara na mitaa inabaki tupu, na hata wanaojitafutia riziki zao kwa kutoka kila siku kama bodaboda, daladala, mama lishe na wauza mboga wanakubali kukaa ndani na njaa ili kunusuru roho zao dhidi ya chadema na polisi. Chadema Wakiendelea kufanya hivi kwa muda mrefu watanzania hawa waliozoea amani wataifuta chadema vichwani mwao na kuwalinganisha na magaidi au watia hasara au wapenda vurugu au wapenda vita.
chadema kitabakia kuwa chama cha watu na vijana wapenda vurugu/wabwia unga, wavuta bangi na wasiokuwa na chakupoteza. Hata kwenye vurugu zile ni watoto wasiokuwa na chakupoteza tu ndio waliathirika; hakukuwepo na watoto wa wanasiasa, wafanyabiashara, viongozi, maprofesa wala watumishi. Wengi wao walikuwa ni watoto wa masikini kabisa waliotolewa kafara na watu wanaowaamini na kuwaheshimu sana kisiasa, kijamii, kiuchumi na kiroho. Watu ambao walikuwa wanajua kuwa vijana wale kwa kuchoma mali za umma na hata zile zinazolindwa kwa bunduki lazima wangeuliwa na kujeruhiwa kwa wingi. Hesabu zao zilikuwa wangeuliwa wachache tu na wengine watafanikisha lengo lao kwakuwa walijua kuwa polisi wengi walikuwa kwenye malindo ya kulinda uchaguzi. Bahati yao mbaya ni kwamba mikoa mingi na watanzania wengi hawakujitokeza kuunga mkono vurugu zao kama walivyokuwa wamekusudia. Hii ilisababisha Vijana waleta vurugu wakaminywa wote na kunyanyua mikono, bila hivyo serikali na watanzania wote tungekuwa tunashuhudia magofu kila kona. Yaani tungerudi nyuma miaka 50 kimaendeleo.
Chadema imetumika tu kama mtu wa mwisho/loud speaker nyuma ya wapanga mipango wakubwa wenye maslahi ya kibiashara nyuma ya pazia. Vurugu tunazoziona msingi wake mkuu sio demokrasia, bali biashara haramu ambazo zilivurugwa na utawala mpya wa Rais samia. Mpango ambao ulianza kwa kumnyang'anya Mbowe chadema ili kitumike kama jukwaa lao la kufanikisha kile wanachokidai/maslahi.
Samia amevuruga biashara zao haramu nyingi sana. Kulikuwa na mipango kabambe ambayo ilikuwa inafanyika wakati wa JPM, ambayo ghafla iliingia hitilafu baada Rais JPM kufa ghafla ambayo hawakuwa na uhakika kama Samia angeruhusu waendelee nayo kama ilivyo au Samia angehamia kwa watu wengine kama Rostam, nk.
Vita hii sio ya kidemokrasia hata kidogo, ni vita ya maslahi.
Chadema inawafunika CCM kiasi cha kukimbia mikutanoHakuna chama kipya kinakuja madarakani pamoja na ofisi zake za serikali, majeshi, polisi, mahakama, barabara, hospitali, mahakama na majaji wake wapya. Watatumia miundombinu hiihii na rasilimali watu iliyopo, maana miundombinu hii sio mali ya chama kilichoko madarakani wala Rais, ni mali ya watanzania hata wale ambao hawajazaliwa. Kuichoma moto na kuiharibu sio sawa na kosa kubwa sana.

Unakariri sana.Common is too common. Uingereza haina issue sasa hivi, dhofle hali, itamtishia nani? Kama huamini subiri uone. Hizo nchi ndio wawekezaji wakuu hapa kwetu, wanafurahia amani na utulivu kwenye nchi yetu, wanalala usingizi mitaji yao iko salama hapa kuliko nchi nyingine. RAIS Clinton aliita Tanzania the Geveva of Afrika, unadhani hakuwa na akili?
Jidanganyeni na commowealth!! Nchi za ulaya sasa hivi ni chui wa makaratasi, ziko kwenye survival mode, hazina msaada wa kutupa sisi, wenyewe wanatafuta msaada China na Uarabuni sasa hivi. Soma alama za nyakati
Nchi changa kama hii vitu kama hivyo huwezi kuvikosa. Hata Marekani kuna wanafunzi wasoma kwenye shule za serekali mbaya kabisa, kuna watu wanalala kwwnye viambaza vya nyumba na magari mabovu. South Afrika wanakosaga maji na umeme. Mnadanganywa na wahuni kwakuwa nyinyi ni malofa hamjatembea kokote hamjui kokote zaidi ya kwenu hapoUnahitaji kuwa na ujinga huu ili kuitetea CCM. Wewe hujui watoto shule za mjini wanakaa chini, hujui kuwa Mwanza mjini ilipo lake Victoria, kuna kaya nyingi hazina maji, hujui kuwa hospitali nyingi matibabu ni changamoto. ? Kinachoshangaza huu uongo mnamuambia nani, maana watanzania wanatambua hali halisi.
Mtegemea cha ndugu hufa maskini. Tangu tupate uhuru wanatupa misaada yao mbuzi lakini haitufikishi popote. Wakitunyima misaada wanatupa akili mpya ya kujitegemea. Hao ndio wanaowapa chadema misaada na kuzitunza familia za viongozi wa chadema huko ulaya, lazima watachukia tu kama mapinduzi waliyosaidia yamefeli. Hatushangai.Unakariri sana.
Je, misaada haijapungua nchini kwetu baada ya mauaji ya oktoba 29?.
Tusubiri ripoti ya uchunguzi na ushahidi walionao kuhusu nani alifanya nini oct29Mkuu unakumbuka kabla ya 29/10/2025. CDM walikuwawamefungiwa kujishulisha na mambo ya siasa kwa muda mrefu yaani miezi kadhaa nyuma.
Umeimba chadema chadema.... ila nahsi hauna kumbukumbu za kutosha otherwise ni uchwawa tu.
Mkuu unakumbuka kabla ya 29/10/2025. CDM walikuwawamefungiwa kujishulisha na mambo ya siasa kwa muda mrefu yaani miezi kadhaa nyuma.
Umeimba chadema chadema.... ila nahsi hauna kumbukumbu za kutosha otherwise ni uchwawa tu.
Sasa hayo maandamano yaliitishwa na Chadema? Wacha upotoshaji wa kitoto sisi wote ni watu wazima humu.
Hayo ni maneno yako , hakuna kiongozi yoyote wa Chadema aliyesema maneno hayo. Mnatafuta kisingizio cha mauaji ya halaiki mliyofanya 29.10.2025, hii haiwezi kuwasaidia sana sana mnazidi kuwatia wananchi hasira na chuki kwa serikali yenu haramu.Ni chama gani au kiongozi wa chama gani tofauti na CHADEMA waliwai kutangaza kuvuruga uchaguzi,kuhamasisha uasi na kufanya maandamano tofauti na CHADEMA?
Uchanga wa nchi una maanisha nini?Nchi changa kama hii vitu kama hivyo huwezi kuvikosa. Hata Marekani kuna wanafunzi wasoma kwenye shule za serekali mbaya kabisa, kuna watu wanalala kwwnye viambaza vya nyumba na magari mabovu. South Afrika wanakosaga maji na umeme. Mnadanganywa na wahuni kwakuwa nyinyi ni malofa hamjatembea kokote hamjui kokote zaidi ya kwenu hapo
Nafikiri anamaanisha viongozi wa nchi wana akili changa.Uchanga wa nchi una maanisha nini?