CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Hamuwezi kutatua tatizo kwa kujidanganya kwamba halipo.Pole sana,nilijua utaweza kuachana na ukweli
Hamuwezi kutatua tatizo kwa kujidanganya kwamba halipo.Pole sana,nilijua utaweza kuachana na ukweli
Hamuwezi kutatua tatizo kwa kujidanganya kwamba halipo.
Wewe mwenyewe ni Kavulana, una hoja za utoto utoto.Hakuna chama kipya kinakuja madarakani pamoja na ofisi zake za serikali, majeshi, polisi, mahakama, barabara, hospitali, mahakama na majaji wake wapya. Watatumia miundombinu hiihii na rasilimali watu iliyopo, maana miundombinu hii sio mali ya chama kilichoko madarakani wala Rais, ni mali ya watanzania hata wale ambao hawajazaliwa. Kuichoma moto na kuiharibu sio sawa na kosa kubwa sana.
Hakuna mahali popote nimesikia chama cha chadema kimekerwa na kuharibiwa kwa mali/kodi za watanzania katika vurugu za Octoba 29, 2025 na siku zilizofuata siku hiyo. Hii ni kuonyesha kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya wachomaji na chadema, la sivyo, walifurahishwa na uchomaji ule.
Hayati Reginald Mengi (RIP) alikuwa miongozi mwa watu wa kwanza nchini kumiliki vyombo vya habari. Kila wakati unapokaribia uchaguzi mkuu alikuwa akitumia vyombo vyake vya habari kutuonyesha watanzania ubaya wa kuvunjika kwa amani kunakoweza kuletwa na vurugu za uchaguzi na vyama vya upinzani. Nadhani alikuwa mwanaCCM lakini alifanyahivyo kwa kusukumwa na umuhimu wa amani na utulivu katika uwekezaji wake nchini. Kwenye vurugu mitaji inapotea.
Mzee Mengi alikuwa anatuonyesha vita na mauaji ya Rwanda, Burundi na Somalia kwenye kituo chake cha TV. Wapinzani walimlaumu sana kuwa anawatisha watanzania wasivichague vyama vya upinzani. Leo Mengi hayupo lakini nchi ilichomwa moto na watanzania wenzetu wamepoteza maisha wakati wa uchaguzi sawasawa na hofu na tahadhali yake.
Kuchoma au kuunga mkono kuchoma nchi/malalo yetu ni kosa la kiufundi ambalo chadema walilifanya katika harakati zao za kisiasa. Wamekirudisha chama kilometa nyingi sana nyuma. Leo hii chadema kinaogopwa na wananchi kama chama kisichowatakia mema wananchi na taifa. Mwananchi ambae amepoteza mtoto wake kwenye vurugu zile anawalaumu chadema, waliokosa matibabu wakati wa vurugu wanailaumu chadema, waliokosa usafiri wa mwendokasi kwakuwa umechomwa moto wanailaumu chadema, waliokosa ajira kwakuwa sheli na malori waliyokuwa wameajiliwa yamechomwa moto wanailaumu chadema; watoto waliokosa masomo kwa kule kufungwa kutokana na vurugu wanailamu chadema; walioshindwa kutoka nje kujitafutia riziki kwasababu ya vurugu wanailamu chadema, waliofilisika kwasababu maduka yao yaliporwa kwenye vurugu wanailaumu chadema na viongozi wao akina heche; wanaokosa huduma kwenye ofisi za serikali za mitaa na kata zilizochomwa wanailaumu chadema; chadema, chadema, chadema.
Matokeo yake ni nini, leo hii ni rahisi sana kuyazuia maandamano ya chedema kuliko wakati mwingine wowote. Wakiitisha maandamano wananchi wooote wenye akili timamu wanabaki majumbani mwao na biashara zote zinafungwa kupisha maandamano ya chadema. Barabara na mitaa inabaki tupu, na hata wanaojitafutia riziki zao kwa kutoka kila siku kama bodaboda, daladala, mama lishe na wauza mboga wanakubali kukaa ndani na njaa ili kunusuru roho zao dhidi ya chadema na polisi. Chadema Wakiendelea kufanya hivi kwa muda mrefu watanzania hawa waliozoea amani wataifuta chadema vichwani mwao na kuwalinganisha na magaidi au watia hasara au wapenda vurugu au wapenda vita.
chadema kitabakia kuwa chama cha watu na vijana wapenda vurugu/wabwia unga, wavuta bangi na wasiokuwa na chakupoteza. Hata kwenye vurugu zile ni watoto wasiokuwa na chakupoteza tu ndio waliathirika; hakukuwepo na watoto wa wanasiasa, wafanyabiashara, viongozi, maprofesa wala watumishi. Wengi wao walikuwa ni watoto wa masikini kabisa waliotolewa kafara na watu wanaowaamini na kuwaheshimu sana kisiasa, kijamii, kiuchumi na kiroho. Watu ambao walikuwa wanajua kuwa vijana wale kwa kuchoma mali za umma na hata zile zinazolindwa kwa bunduki lazima wangeuliwa na kujeruhiwa kwa wingi. Hesabu zao zilikuwa wangeuliwa wachache tu na wengine watafanikisha lengo lao kwakuwa walijua kuwa polisi wengi walikuwa kwenye malindo ya kulinda uchaguzi. Bahati yao mbaya ni kwamba mikoa mingi na watanzania wengi hawakujitokeza kuunga mkono vurugu zao kama walivyokuwa wamekusudia. Hii ilisababisha Vijana waleta vurugu wakaminywa wote na kunyanyua mikono, bila hivyo serikali na watanzania wote tungekuwa tunashuhudia magofu kila kona. Yaani tungerudi nyuma miaka 50 kimaendeleo.
Chadema imetumika tu kama mtu wa mwisho/loud speaker nyuma ya wapanga mipango wakubwa wenye maslahi ya kibiashara nyuma ya pazia. Vurugu tunazoziona msingi wake mkuu sio demokrasia, bali biashara haramu ambazo zilivurugwa na utawala mpya wa Rais samia. Mpango ambao ulianza kwa kumnyang'anya Mbowe chadema ili kitumike kama jukwaa lao la kufanikisha kile wanachokidai/maslahi.
Samia amevuruga biashara zao haramu nyingi sana. Kulikuwa na mipango kabambe ambayo ilikuwa inafanyika wakati wa JPM, ambayo ghafla iliingia hitilafu baada Rais JPM kufa ghafla ambayo hawakuwa na uhakika kama Samia angeruhusu waendelee nayo kama ilivyo au Samia angehamia kwa watu wengine kama Rostam, nk.
Vita hii sio ya kidemokrasia hata kidogo, ni vita ya maslahi.
Wewe mwenyewe ni Kavulana, una hoja za utoto utoto.
Hao vijana wasio na mwelekeo wasio na chakupoteza nani aliwatengeneza kwa maana ya kuwanyima fursa, mitaji elimu bora na ajira ni Chadema ?
Chadema inamiliki bank gani, ambayo ingewapa mtaji.
Chadema inamiliki chuo gani ambacho ilikataa kuwasomesha.
Chadema inamiliki miradi ipi na fursa za ajira ikawakataa hao vijana.
Acha kuropoka wewe Kavulana, bado wengine hawajaanua matanga ya watoto wao 29/07/2025
Nilichosikia hata wewe ndicho ulichosikia, ila unajifanya mwehu.Hivi CHADEMA kusema kua tuvuruge uchaguzi na kufanya uasi ilikua na malengo gani kwa taifa letu ili Tanzania?
Nilichosikia hata wewe ndicho ulichosikia, ila unajifanya mwehu.
Reforms maana yake ni uhaini, uasi na kuvuruga uchaguzi.
Kwa nini hamtaki mabadiliko ya kweli
Ndio maana serikali ipo kwa ajili ya kutimiza hizo shida za watu.Nimewayasoma na nifahamu Sera na Program nyingi za serikali. Im a concerned and informed citizen.
Lakini, hatuhitaji kuwa wasomi kujua kinachoendelea nchi hii. Elimu, Maji, Miundombinu, Afya, Niambie ni wapi unaweza sema tumefanikiwa kwa hata 75% for 60 of self rule?
Hivi unaelewa dhana ya katiba bora ni nini?Ndio maana serikali ipo kwa ajili ya kutimiza hizo shida za watu.
Soko la hisa limekua kwa asilimia 300 mwaka jana pekee, tutafute wasomi wa uchumi watufungue macho, tunaweza kuwa tunaongelea masuala ya katiba wakati keki ya taifa inafaidisha wasomi na wajanja wachache.
Katiba bora inaleta kitu gani ikiwa watu ni wale wale wapigaji, wavivu na wenye tabia zile zile za kila siku?.Hivi unaelewa dhana ya katiba bora ni nini?
Kama alikumbia wewe tu na yeye chumbani sawa, na tutahoji mlikuwa mnafanya nini, ila kama ni majukwaani tulisikia No reform no electionMimi sikuwai kusikia reform ila nilisikia anatuambia kua tuvuruge uchaguzi na tufanye uasi
Kuna muda tunapoteza muda tu kujadili mambo kumbe yanawazidi watu vimo.Kama alikumbia wewe tu na yeye chumbani sawa, na tutahoji mlikuwa mnafanya nini, ila kama ni majukwaani tulisikia No reform no election
Yaani ndiyo hamnazo kabisa. Nchi gani kila kitu kiko sawasawa kabisa? Exposure zenu zina mashaka. Mimi kazi yangu ni fundi wa kuchomelea vyuma, Lissu akiwa Rais ataniongezea nini kwenye kazi yangu?Unahitaji kuwa na ujinga huu ili kuitetea CCM. Wewe hujui watoto shule za mjini wanakaa chini, hujui kuwa Mwanza mjini ilipo lake Victoria, kuna kaya nyingi hazina maji, hujui kuwa hospitali nyingi matibabu ni changamoto. ? Kinachoshangaza huu uongo mnamuambia nani, maana watanzania wanatambua hali halisi.
Hata kama tungekuwa walevi vipi haturuhusi nchi tulioapa kuilinda ichomwe, peaneni hizi taarifa. Tutashindwa huku tukiipigania kwa nguvu zetu zote. We will not let the country go to the dogs. Nyerere aliapa hivyo na sisi tutafuata nyao zake hadi hapo vyama vya upinzani vitakapokuwa na palpable leaderships, physible and realistic policies. Sasa hivi bado ni wanaharakati zaidi kuliko uhalisiaNafikiri anamaanisha viongozi wa nchi wana akili changa.
Kama wananchi wanaona hivyo asingekuwa kororoni mpaka sasa. Wananchi tuko bize mitaani tunagida bia zetu baada ya kazi. Bro, siku wananchi wakikerwa na jambo kila mtu ajujua kuwa wananchi wamekereka. Muda huo haujafika bado kabisaIla anasikilizwa, anapendwa ,na anasema ukweli kabisa.
Wananchi tunaona ana haiba kubwa na utu wa kweli leo namtumia tena jioni elfu kumi
Kenya wanayo Katiba brand new lakini wako hoi kweikwei, wanashinda barabarani, wachezaji mpira wao wazuri wote wako kwenye ligi ya Tanzania. Unadhani hii imetokea kwa bahati mbaya tu?Rubbish way of thinking inaonekana tu huhitaji kuandika gazeti zima.
Msikaririshwe kwamba katiba itatatua kila kitu, ukiwa huna ubunifu kichwani hakuna katiba mpya itakayobadili chochote miongoni mwa watanzania.
Dubai hawana katiba mpya lakini hatuwafikii kwa maendeleo.
Rwanda hawana katiba rafiki kwa wanaharakati lakini kasi ya maendeleo yao ipo juu sana.
Tunachofanya ni kuendelea kuboresha huduma kwa watanzania na kuilinda nchi, watu na mali zao. Tutaongeza askari, technolojia na risasi zaidi. Vibaraka hawatashinda kanwe. Tumejifunza kutoka Kenya, Somalia, Libya, DRC, Iraq, Mali, Niger, Burkina Faso na kwingineko ambako vijana walihadaiwa na wahuni. Kwetu ni kata funua kwa cheche za moto zote kabla hazichoma taifa lote.Kwa huu ugumba wa vichwa vyenu , Chadema mnaweza kuifuta lakini nawahakikishieni msipoacha kuiba chaguzi, kuteka na kupoteza raia, uzi ni uleule.
Imbecile !!!Hata kama tungekuwa walevi vipi haturuhusi nchi tulioapa kuilinda ichomwe, peaneni hizi taarifa. Tutashindwa huku tukiipigania kwa nguvu zetu zote. We will not let the country go to the dogs. Nyerere aliapa hivyo na sisi tutafuata nyao zake hadi hapo vyama vya upinzani vitakapokuwa na palpable leaderships, physible and realistic policies. Sasa hivi bado ni wanaharakati zaidi kuliko uhalisia