johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Upendo ni jambo muhimu na la baraka mbele zake Mungu.
Chadema walimpenda sana Spika Ndugai na hasa pale walipobaki na Dr Tulia wakati Job akiwa India kwa matibabu walimlilia na kumuombea uponyaji wa haraka.
Aliporejea Freeman alienda air port kumpokea na kumsindikiza hadi nyumbani kwake Salasala.
Huu ni upendo mkuu ambao hata sasa Chadema wanauonyesha kwa Rais wetu kipenzi mama Samia.
Nawatakia Pentecoste yenye baraka!
Ukaja Upepo kutoka mbinguni juu na Wote wakajazwa Roho Mtakatifu.