johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Hahahaaaa......!Hata JPM tumemzika lakini mbona nyumbu wajadili kuhusu mwendazake?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa......!Hata JPM tumemzika lakini mbona nyumbu wajadili kuhusu mwendazake?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Haieleweki kosa ni kupenda ama unajenga hoja kwamba mtu wa CCM akipendwa na CHADEMA anaharibikiwa kama Ndagay?Nahisi ****** anasumbuliwa na madhara ya ugonjwa/side effects za dawa za India.Kama mnakumbuka ndugai alikuwa mstaarabu lakini tulia ndiyo alikuwa hajatulia
alipewa onyo la kuondolewa na boss wake Kama hatojirekebisha na alivyorudi ndiyo akawa kama alivyo leo
Kama **** mwanamke malaya mtaani kila akipita mnamzungumziaMimi navyojua chadema imekufa kwa mujibu wa Mataga, swali, kwanin kila leo Mataga bado wanajadili kuhusu Chadema? Au hawana chama mbadala cha kuongelea?
Watu wenye upeo mdogo kila siku hufikiria magomvi,hivi kwenda kumpokea Mtanzania mwenzio airport ni kosa??? Mlilishwa nini na Magufuri kiasi kwamba mkaona kuwa mtu yeyote asiye mwanaccm ni adui wa nchi??Upendo ni jambo muhimu na la baraka mbele zake Mungu.
Chadema walimpenda sana Spika Ndugai na hasa pale walipobaki na Dr Tulia wakati Job akiwa India kwa matibabu walimlilia na kumuombea uponyaji wa haraka.
Aliporejea Freeman alienda air port kumpokea na kumsindikiza hadi nyumbani kwake Salasala.
Huu ni upendo mkuu ambao hata sasa Chadema wanauonyesha kwa Rais wetu kipenzi mama Samia.
Nawatakia Pentecoste yenye baraka!
Ukaja Upepo kutoka mbinguni juu na Wote wakajazwa Roho Mtakatifu.
Mbona umefura?Watu wenye upeo mdogo kila siku hufikiria magomvi,hivi kwenda kumpokea Mtanzania mwenzio airport ni kosa??? Mlilishwa nini na Magufuri kiasi kwamba mkaona kuwa mtu yeyote asiye mwanaccm ni adui wa nchi??
Amina!Adui yako usimwombee njaa, pendaneni mpende jirani yako kama nafsi yako hii ndio amri kuu nawapeni. Muwe na jumapili njema.!
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
AminaUpendo ni jambo muhimu na la baraka mbele zake Mungu.