johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chama kina wabunge 20 unasema kimekufa?!Mimi navyojua chadema imekufa kwa mujibu wa Mataga, swali, kwanin kila leo Mataga bado wanajadili kuhusu Chadema? Au hawana chama mbadala cha kuongelea?
Upendo ni jambo muhimu na la baraka mbele zake Mungu.
Chadema walimpenda sana Spika Ndugai na hasa pale walipobaki na Dr Tulia wakati Job akiwa India kwa matibabu walimlilia na kumuombea uponyaji wa haraka...
Nakutakia Pentecoste yenye baraka!Kwako Mwalimu Mgaya.
Nakutakia Pentecoste yenye baraka!
Mkuu bado hujaoshwa dhambi ya uMATAGA?Upendo ni jambo muhimu na la baraka mbele zake Mungu.
Chadema walimpenda sana Spika Ndugai na hasa pale walipobaki na Dr Tulia wakati Job akiwa India kwa matibabu walimlilia na kumuombea uponyaji wa haraka...
Sasa unataka kusemaje?? Wasimpendi?Upendo ni jambo muhimu na la baraka mbele zake Mungu.
Chadema walimpenda sana Spika Ndugai na hasa pale walipobaki na Dr Tulia wakati Job akiwa India kwa matibabu walimlilia na kumuombea uponyaji wa haraka...
Ngoja Mataga wake watakujibu.Mimi navyojua chadema imekufa kwa mujibu wa Mataga, swali, kwanin kila leo Mataga bado wanajadili kuhusu Chadema? Au hawana chama mbadala cha kuongelea?
Bwashee tunabariki upendano!Mkuu bado hujaoshwa dhambi ya uMATAGA?
Wasije kugeuka mbeleni!
Amina!Inapendeza sana... Binadamu ni kupendana...
Hata JPM tumemzika lakini mbona nyumbu wajadili kuhusu mwendazake?Mimi navyojua chadema imekufa kwa mujibu wa Mataga, swali, kwanin kila leo Mataga bado wanajadili kuhusu Chadema? Au hawana chama mbadala cha kuongelea?