Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Ni kazi kuamini:-
* Kelele za CHADEMA kuhusu barabara ya Nyakanazi - Kigoma CCM imezimaliza. Sasa hii si hoja tena kwao;
* Umeme si hoja tena. REA imefanya kazi kubwa kuleta maendeleo ya nishati mkoani Kigoma.
* Mawasiliano ya simu ktk rural areas siyo hoja tena. Ni CCM chini ya Rais Samia imetenda. CHADEMA wamebaki kuwa wanufaika wakuu wa miradi inayotengenezwa na CCM hapa nchini;
* Hali ya ulinzi na usalama nao umeimalika sana. Hivi sasa CHADEMA huanza safari ya Kigoma - Dodoma au Dar hata usiku wa manane. CCM imejibu hoja zote. Nadhani ktk uchaguzi wa 2025 Mama hatakuwa na mpinzani.
Maendeleo ni CCM!
Ngaika Ndenda