Hapo Kuna Kodi za mamilioni ya wanachadema, cut, act, nra, ccm wenyewe zimetumika kwahiyo ikitokea CCM hela za Kodi mmepekeka kwenye maendeleo badala ya kuzitafuna msidhani kuwa mmefanya hisani kwa watanzania ila mmetekeleza majukumu mliyoomba wenyewe ya kuwatumikia watanzania
Acheni kuhifadhi makamasi na vinyesi vichwani mwenu