Pre GE2025 Chadema wameamua kujifunga goli wao wenyewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar

Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi.

Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake.

Kwli shuld inatakiwa. Inaonekana lisu yuko empty kichwani
 
Uzanzibari wake ndo unafanya asiwahurumie watanganyika. Sasa watanganyika hawana sababu ya kumhurumia pia . Kura zitapigwa kwa haki , anayesimamia maoni ya wengi na mwenye ushawishi ndo atashinda .
 
Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar

Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi.

Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake.

Kwli shuld inatakiwa. Inaonekana lisu yuko empty kichwani
Kungekuwa na uchaguzi wa kweli hii hoja yako ingekuwa na mashiko, kama wamegoma kuwepo na tume huru ya uchaguzi, hizo sababu zako hazina maana yoyote.
 
Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar

Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi.

Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake.

Kwli shuld inatakiwa. Inaonekana lisu yuko empty kichwani
Tunataka bandari zetu tume huru na katiba mpya ya serikali 3 hizo poroja peleka kizimkazi
 
Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar

Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi.

Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake.

Kwli shuld inatakiwa. Inaonekana lisu yuko empty kichwani
Gori ni kitu gani?
 
Haya kwanza eleza maana ya ''gori'', ''theruthi'' na ''mana''. Halafu kingine ni kuwa Zanziba ina wapiga kura wacahache sana na miaka yote kura zao zinakwenda CUF/ACT na CCM.
 
Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar

Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi.

Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake.

Kwli shuld inatakiwa. Inaonekana lisu yuko empty kichwani
Pole.
 
Ni ujinga kudhani wazenji wanataka muungano,wa serikali 2 lisu akienda zenji na sera ya selikaliv 3 atashinda asubuhi
 
Back
Top Bottom