johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wasalimie Wayao Wenzako huko Tunduru 🐼Huyo mfu ni shujaa wa washamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasalimie Wayao Wenzako huko Tunduru 🐼Huyo mfu ni shujaa wa washamba
Achana na Mwehu huoni mwandiko wake kama la 4D?Theruthi ya kufanyia nini?😂😂
Suala Muungano kuvunjika Wazanzibar wako tayari tangia 1973 sema tu Watanganyika ndio mbumbu hivyo Wazanzibar wanauhitaji sana Uzanzibar wao hata sasa.Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar
Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi.
Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake.
Kwli shuld inatakiwa. Inaonekana lisu yuko empty kichwani
Bwashe bana, sometime dishi inakuwaga sawa😂😂😂😂😂. Imagine mtu anasema udini kiasi cha kusahau Zanzibar ambapo mtu haruhusiwi kula chakula cha mchana wakati wa mfungo mtukufu? Ukiwauliza wanakuambia 'utamaduni'wao, hawasemi udini😡😡😡😡. Sisi tunakula ni udiniZanzibar kuna kura ngapi?
Lowassa alipata kura nyingi kuliko Shujaa Magufuli Zanzibar ile 2015 hazikumsaidia chochote 😄😄
Ataachwa kama alivyoachwa Jpm.Unatakiwa ujue kua ngoma ikivuma sana huwa inakaribia kupasuka.Ikitikea samia akakataza mikutano yote kama ilivyokuwa kw jpm mtafanyaje sasa. Acheni kumchokoza mama wa watu. Lisu yeye anapo pa kukimbilia, wewe je
Hakuna sheria hiyo. its just simple majority winNimesema theruthi. Shida yako hesabu ulipeperusha bendelea.
Hata wawe kumo badp therthi inahitajika
Kura za huruma!!!? Mnamdharau sana mamaKamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar
Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi.
Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake.
Kwli shuld inatakiwa. Inaonekana lisu yuko empty kichwani
CHADEMA hawajawahi kutegemea kura zenji, hata 2020 hawakupata kura wala mbunge, wanajua zenji wanamtaka zito ambaye ni muislam mwenzao, wote baada ya kutoka cuf wakaenda ACT wazalendo na ndio maana zitto anapambana hata issue ya muungano anatetea zanzibar kwasababu kule ana wapigakura na wabunge wanaompa ruzuku kubwa. zenji ina wapigakura sidhani kama hata laki tano wanazidi, na hawaipigiagi chadema. nashauri chadema wafute kabisa kutafuta kura zenji, kwasababu watapoteza pesa zao za kampeni bure, na tafuteni issue inayogusa mioyo ya watanzania ili kumwondoa kizmkazi kwa sanduku la kura 2025.Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar
Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi.
Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake.
Kwli shuld inatakiwa. Inaonekana lisu yuko empty kichwani
Umeuliza kama Mzee kifimbo cheza wa gazeti la sani😄😄Haya kwanza eleza maana ya ''gori'', ''theruthi'' na ''mana''. Halafu kingine ni kuwa Zanziba ina wapiga kura wacahache sana na miaka yote kura zao zinakwenda CUF/ACT na CCM.
Hizo kura zenu 950 kaeni nazo wemyewe aj wapeni ACT na CCM wagawaneKamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar
Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi.
Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake.
Kwli shuld inatakiwa. Inaonekana lisu yuko empty kichwani
Theruthi ni nini?Ili utangazwe rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania lazima upatea galau theruthi ya kura kutoka zanzibar. Hii ni kwa mujibu wa katiba
Mimi ni mzanzibar, 99% ya wazanzibari tunamuunga Lissu mkono nina uhakika hata Sa100 mwenyewe anamuunga mkono. Huu muungano hata sisi wazanzibar hatuutakiKamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar
Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi.
Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake.
Kwli shuld inatakiwa. Inaonekana lisu yuko empty kichwani
Mungu akubariki Bwashe. Nilisikiliza ile clip ya majuzi ya Makamu wa Rais Zanzibar. Moyo uliniuma mno. Alikuwa very clear kwamba wazanzibari wote ni watanzania lakini si watanzania wote ni wazanzibari. Kwamba wazanzibari wote wana full rights ndani ya Muungano lakini Watanganyika not. Thats why Watanganyika hawawezi kumiliki hata hatua moja ya ardhi Zanzibar lkn wao wanaweza Tanganyika.Tatizo lako unadhani Watanzania Visiwani hawaitaki Serikali ya Tanganyika
Utashangazwa sana 🐼
Usiishi kwa kukariri
Zanzibar ni nchi yenye Ardhi, mipaka na kila kitu na wanajipigia kura wenyewe kwa wenyewe tangu 1995
Mbona kwa jpm hamkufurukuta alizima mikutano yote mkaufyata leo manajifanya mnajua kuongea kisa mama mpole, mnyenyekevu, mwelevu na siyo lile jamaa
Hiki kiswahili chako kinaonesha we ni muha wa kigomaMimi ni mzanzibar, 99% ya wazanzibari tunamuunga Lissu mkono nina uhakika hata Sa100 mwenyewe anamuunga mkono. Huu muungano hata sisi wazanzibar hatuutaki
Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar
Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi.
Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake.
Kwli shuld inatakiwa. Inaonekana lisu yuko empty kichwani
Ndiyo mtuwache haraka sana muuvunje huu uvamiziZanzibar inatuhusu Nini sisi watanganyika?