Pre GE2025 Chadema wameamua kujifunga goli wao wenyewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar

Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi.

Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake.

Kwli shuld inatakiwa. Inaonekana lisu yuko empty kichwani
Lissu anaicheza ngoma wanayoipenda Wazanzibari kuisikia !!
Kama hulijui hilo shauri yako ! 🙏🙏
 
Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar

Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi.

Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake.

Kwli shuld inatakiwa. Inaonekana lisu yuko empty kichwani
Huyo maalim seif licha ya kuwa anapata 3/4 ya kura zote za Zanzibar ni lini alitangazwa kuwa rais wa zanzibar?!! Jibuni hoja kwani Samia sio mzanzibar?
 
Back
Top Bottom