- Thread starter
- #21
Mbona kwa jpm hamkufurukuta alizima mikutano yote mkaufyata leo manajifanya mnajua kuongea kisa mama mpole, mnyenyekevu, mwelevu na siyo lile jamaaBora umempa elimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kwa jpm hamkufurukuta alizima mikutano yote mkaufyata leo manajifanya mnajua kuongea kisa mama mpole, mnyenyekevu, mwelevu na siyo lile jamaaBora umempa elimu.
Hatuna shida na Jpm wala Mama Samiah bali tuna shida na ccm na mfumo wake wote uliojaa Rushwa,Ubaguzi na wameanza kuingiza itikadi za kidini na kikabila polepole.Haya ndiyo matatizo tunayopambana nayo.Mbona kwa jpm hamkufurukuta alizima mikutano yote mkaufyata leo manajifanya mnajua kuongea kisa mama mpole, mnyenyekevu, mwelevu na siyo lile jamaa
Jipe moyo tu nyie jizatitini na wizi wa kura mkilemaa mtakuta limeshatota watu wanagawana mbaoKamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar
Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi.
Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake.
Kwli shuld inatakiwa. Inaonekana lisu yuko empty kichwani
Ikitikea samia akakataza mikutano yote kama ilivyokuwa kw jpm mtafanyaje sasa. Acheni kumchokoza mama wa watu. Lisu yeye anapo pa kukimbilia, wewe jeHatuna shida na Jpm wala Mama Samiah bali tuna shida na ccm na mfumo wake wote uliojaa Rushwa,Ubaguzi na wameanza kuingiza itikadi za kidini na kikabila polepole.Haya ndiyo matatizo tunayopambana nayo.
kwahiyo wa bara wamnyie kura siyo wawape chadema. hata hivyo wazanzibar wanajua kura watampa nani usiwasemee,Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar
Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi.
Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake.
Kwli shuld inatakiwa. Inaonekana lisu yuko empty kichwani
Akataze tu kama Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya 1977 inamruhusu kufanya hivyo lakini kama haimruhusu tutaendelea kama tulivyokuwa tunamshambulia hayati Magufuri na kikundi chake cha Sukuma gang.Ikitikea samia akakataza mikutano yote kama ilivyokuwa kw jpm mtafanyaje sasa. Acheni kumchokoza mama wa watu. Lisu yeye anapo pa kukimbilia, wewe je
Tatizo lako unadhani Watanzania Visiwani hawaitaki Serikali ya TanganyikaSoma katiba vizuri ule chakula cha ubongo
Ikitikea samia akakataza mikutano yote kama ilivyokuwa kw jpm mtafanyaje sasa. Acheni kumchokoza mama wa watu. Lisu yeye anapo pa kukimbilia, wewe je
Mbona jpm aliwezaMwambie azuie mikutano yote, uone kitakachotokea.
Usiishi kwa kukariri. Eti kwa vile Amin aliwakusanya vilema na kuwabwaga majini, halafu ukaamini kuna kiongozi wa kufanya hivyo hata leo.
Lakini mwisho wake Mungu akamtoa bila kupenda.Mbona jpm aliweza
Wakati nyie chadem ndo mliomrogLakini mwisho wake Mungu akamtoa bila kupenda.
Wazanzibar wenyewe wanaiunga mkono cdm kwenye hoja ya serikali 3.Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar
Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi.
Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake.
Kwli shuld inatakiwa. Inaonekana lisu yuko empty kichwani
Mungu aliamua ugomvi hata kama ni CHADEMA ndiyo waliofanya hivyo walikuwa sahihi kabisa.Wakati nyie chadem ndo mliomrog
Theluthi ipi?Nimesema theruthi. Shida yako hesabu ulipeperusha bendelea.
Hata wawe kumo badp therthi inahitajika
Sio kweli. Ili utangazwe lazima tume iamue hata kama umepata kura 2.Ili utangazwe rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania lazima upatea galau theruthi ya kura kutoka zanzibar. Hii ni kwa mujibu wa katiba
yaani uongee swala la muungano zanzibar ukose kura? hivi watu mbona ni wajinga hivi? lisu kaleta udini gani sasa? kusema fulani ni mzanzibar ndo udini huo?Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar
Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi.
Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake.
Kwli shuld inatakiwa. Inaonekana lisu yuko empty kichwani
Huyo mfu ni shujaa wa washambaZanzibar kuna kura ngapi?
Lowassa alipata kura nyingi kuliko Shujaa Magufuli Zanzibar ile 2015 hazikumsaidia chochote 😄😄
We nyumbu kuna bandari kwenu? Bwege lisilo na hayaTunataka bandari zetu tume huru na katiba mpya ya serikali 3 hizo poroja peleka kizimkazi