Pre GE2025 Chadema wameamua kujifunga goli wao wenyewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona kwa jpm hamkufurukuta alizima mikutano yote mkaufyata leo manajifanya mnajua kuongea kisa mama mpole, mnyenyekevu, mwelevu na siyo lile jamaa
Hatuna shida na Jpm wala Mama Samiah bali tuna shida na ccm na mfumo wake wote uliojaa Rushwa,Ubaguzi na wameanza kuingiza itikadi za kidini na kikabila polepole.Haya ndiyo matatizo tunayopambana nayo.
 
Jipe moyo tu nyie jizatitini na wizi wa kura mkilemaa mtakuta limeshatota watu wanagawana mbao
 
Hatuna shida na Jpm wala Mama Samiah bali tuna shida na ccm na mfumo wake wote uliojaa Rushwa,Ubaguzi na wameanza kuingiza itikadi za kidini na kikabila polepole.Haya ndiyo matatizo tunayopambana nayo.
Ikitikea samia akakataza mikutano yote kama ilivyokuwa kw jpm mtafanyaje sasa. Acheni kumchokoza mama wa watu. Lisu yeye anapo pa kukimbilia, wewe je
 
kwahiyo wa bara wamnyie kura siyo wawape chadema. hata hivyo wazanzibar wanajua kura watampa nani usiwasemee,
 
Ikitikea samia akakataza mikutano yote kama ilivyokuwa kw jpm mtafanyaje sasa. Acheni kumchokoza mama wa watu. Lisu yeye anapo pa kukimbilia, wewe je
Akataze tu kama Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya 1977 inamruhusu kufanya hivyo lakini kama haimruhusu tutaendelea kama tulivyokuwa tunamshambulia hayati Magufuri na kikundi chake cha Sukuma gang.
 
Soma katiba vizuri ule chakula cha ubongo
Tatizo lako unadhani Watanzania Visiwani hawaitaki Serikali ya Tanganyika

Utashangazwa sana 🐼

Usiishi kwa kukariri

Zanzibar ni nchi yenye Ardhi, mipaka na kila kitu na wanajipigia kura wenyewe kwa wenyewe tangu 1995
 
Ikitikea samia akakataza mikutano yote kama ilivyokuwa kw jpm mtafanyaje sasa. Acheni kumchokoza mama wa watu. Lisu yeye anapo pa kukimbilia, wewe je

Mwambie azuie mikutano yote, uone kitakachotokea.

Usiishi kwa kukariri. Eti kwa vile Amin aliwakusanya vilema na kuwabwaga majini, halafu ukaamini kuna kiongozi wa kufanya hivyo hata leo.
 
Mwambie azuie mikutano yote, uone kitakachotokea.

Usiishi kwa kukariri. Eti kwa vile Amin aliwakusanya vilema na kuwabwaga majini, halafu ukaamini kuna kiongozi wa kufanya hivyo hata leo.
Mbona jpm aliweza
 
Ibara gani unazungumzia theluthi?
 
Wazanzibar wenyewe wanaiunga mkono cdm kwenye hoja ya serikali 3.
Iwepo Tanganyika na serikali yake ili zanzibar nayo iwe na serikali yenye mamlaka
 
yaani uongee swala la muungano zanzibar ukose kura? hivi watu mbona ni wajinga hivi? lisu kaleta udini gani sasa? kusema fulani ni mzanzibar ndo udini huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…