Pre GE2025 Chadema wameamua kujifunga goli wao wenyewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu anaicheza ngoma wanayoipenda Wazanzibari kuisikia !!
Kama hulijui hilo shauri yako ! 🙏🙏
 
Huyo maalim seif licha ya kuwa anapata 3/4 ya kura zote za Zanzibar ni lini alitangazwa kuwa rais wa zanzibar?!! Jibuni hoja kwani Samia sio mzanzibar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…