Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
WanaJf, salaam tena!
Nimekuja kuuliza tena baada ya shangao kubwa linalotokana na ndimu mbili za chama kikongwe cha upinzani - CDM. Kimsingi sitegemei kuona CDM kikitoa misimamo inayoyumba na kuyumbisha taifa letu. REJEA
(a) Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 CHADEMA ilituma kwa Spika majina ya Wabunge leo wanaoitwa Covid 19. Mitifuano yake mpaka leo imeacha nyufa ndani ya CDM. Lakini leo Covid-19 wameitisha kikao chao na kumwalika Rais wa JMT punde uongozi wa CDM nao uko tayari kukaa nao "La hasha". Viapo vya vyama hivyo viko wapi?
(b) Kutokana na kile kilichotokea uchaguzini CDM ikakataa kuitambua uTme, ikakataa kutambua matokeo na baadae ikakataa kupokea Ruzuku za kila mwezi, robo na nusu mwaka. Sasa juzi juzi mara wamepokea 800+M.
Sasa hivi kachama kanashindwa kusimamia kiapo kidogo hivyo na misimamo ya vikao leo kanaweza kutuaminisha kuwa kanapigania maslahi ya wanyonge?
Wananchi tubaki CCM, chama kinachowapenda na kuwathamini.
Msakila Kabende,
Kakonko.