CHADEMA wamehalalisha haramu 'Covid-19' na Ruzuku

Serikalini ilifahamu umuhimu wa vyama kupata ruzuku, sasa hawa CDM kutangazia umma kuwa hawatambui uchaguzi na Ruzuku hawatachukua walimaanisha kwamba watanzania wote ni wasahaulifu?

Walipoita vyombo vya habari na kutuambia kuwa kundi la Covid 19 hawalitambui na kwa mbwembwe kuwa wamewafuta uanachama hili nalo hawalitambui?
Nadhan nyote hamjanipa jibu sahihi, mimi nataka nijue sheria ya ruzuku kwa vyama vya siasa inasemaje? Hiyo siasa ya CDM na COVID wao watajuana huko!!
 
WanaJf, salaam tena!

Nimekuja kuuliza tena baada ya shangao kubwa linalotokana na ndimu mbili za chama kikongwe cha upinzani - CDM. Kimsingi sitegemei kuona CDM kikitoa misimamo inayoyumba na kuyumbisha taifa letu. REJEA

(a) Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 CHADEMA ilituma kwa Spika majina ya Wabunge leo wanaoitwa Covid 19. Mitifuano yake mpaka leo imeacha nyufa ndani ya CDM. Lakini leo Covid-19 wameitisha kikao chao na kumwalika Rais wa JMT punde uongozi wa CDM nao uko tayari kukaa nao "La hasha". Viapo vya vyama hivyo viko wapi?

(b) Kutokana na kile kilichotokea uchaguzini CDM ikakataa kuitambua uTme, ikakataa kutambua matokeo na baadae ikakataa kupokea Ruzuku za kila mwezi, robo na nusu mwaka. Sasa juzi juzi mara wamepokea 800+M.

Sasa hivi kachama kanashindwa kusimamia kiapo kidogo hivyo na misimamo ya vikao leo kanaweza kutuaminisha kuwa kanapigania maslahi ya wanyonge?

Wananchi tubaki CCM, chama kinachowapenda na kuwathamini.

Msakila Kabende,
Kakonko.
niliwatahadharisha tangu awali kuweni makini na wanasiasa wa nchi hawaaminiki na vigeugeu.wanapenda kuwatumia wananchi kama daraja la wao kupita.nadhani wengi sasa mnayaona kupitia kwa wanasiasa ambao mlijenga trust kubwa kwao.kwa hali hiyo bado mnaamini tz kuna upinzani?tujifunze kwa wenzetu kenya na nchi nyingine jirani.
 
Nadhan nyote hamjanipa jibu sahihi, mimi nataka nijue sheria ya ruzuku kwa vyama vya siasa inasemaje? Hiyo siasa ya CDM na COVID wao watajuana huko!!
Mkuu hawezi kujibu kwa vile hata alicholeta hapa kaandikiwa wao ni kuingia mtandaoni tu na ku paste, ukiwauliza maswali ndo matusi kama haya unayoona
 
WanaJf, salaam tena!

Nimekuja kuuliza tena baada ya shangao kubwa linalotokana na ndimu mbili za chama kikongwe cha upinzani - CDM. Kimsingi sitegemei kuona CDM kikitoa misimamo inayoyumba na kuyumbisha taifa letu. REJEA

(a) Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 CHADEMA ilituma kwa Spika majina ya Wabunge leo wanaoitwa Covid 19. Mitifuano yake mpaka leo imeacha nyufa ndani ya CDM. Lakini leo Covid-19 wameitisha kikao chao na kumwalika Rais wa JMT punde uongozi wa CDM nao uko tayari kukaa nao "La hasha". Viapo vya vyama hivyo viko wapi?

(b) Kutokana na kile kilichotokea uchaguzini CDM ikakataa kuitambua uTme, ikakataa kutambua matokeo na baadae ikakataa kupokea Ruzuku za kila mwezi, robo na nusu mwaka. Sasa juzi juzi mara wamepokea 800+M.

Sasa hivi kachama kanashindwa kusimamia kiapo kidogo hivyo na misimamo ya vikao leo kanaweza kutuaminisha kuwa kanapigania maslahi ya wanyonge?

Wananchi tubaki CCM, chama kinachowapenda na kuwathamini.

Msakila Kabende,
Kakonko.
Sukuma Gang kama vipi mfuate dhalim huko jehanam au rudini kwenu Burundi mlikozoea kuchinjana wapuuzi wakubwa nyie

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom